Jina la Benki hii lipi?

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,030
1,384
CRDB-LOGO.png

Habari za mchakamchaka wa sikukuu Wanajamvi.

Naombeni kueleweshwa kwa wale wajuvi.
Wakati benki ya CRDB inaanzishwa ilikuwa ikitambulika kama Cooperative Rural Development Bank(Benki ya wakulima au benki ya maendeleo kwa wakulima).

Je kwa sasa hivi inaitwaje hasa?
Je, ni Cooperative Rural Development Bank Bank?
[Note: Tazama Logo]
 
Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
 
Sawa sawa na kusema barabara ya nyerere road... Ni makosa tu ya kiuandishi na wameona wastiki na CRDB kuliko kusema CRD BANK... haisound vizuri
 
Kwa vyovyote hujaelewa ninachotaka kukifahamu. Cooperative Rural Development Bank ni CRDB lakini pana maandishi mengine ya "Bank" ndio maana nikasema Tazama Logo!
We haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.

Kwa sasa hiyo CRDB haina kirefu chochote wala maana yoyote.
 
Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
Labda kaangalia jina, madhumuni ya kuanzishwa benki hiyo na kinachoendelea kufanywe na benki hiyo kina uhusiano wowote na jina lake.?
 
We haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.

Kwa sasa hiyo CRDB haina kirefu chochote wala maana yoyote.
You can't be serious
 
Ama mimi ndio sikuelewi au wewe ndio hujaeleweka,Umetaja jina la bank afu bado unauliza jina lake?
Ama ulimaanisha sio bank ya maendelea ya wakulima tena
Kamaanisha ktk neno CRDB BANK neno bank limetajwa Mara 2 hapo kama ukirefusha hill CRDB na kuweka neno la mwisho BA.NK
 
We haujataka kunielewa ndio maana nikakuwekea mfano na pia kama kumbukumbu zangu zipo sahihi hata KCB haitumii tena lile jina la Mwanzo la Kenya Commercial bank ila KCB pekee.

Kwa sasa hiyo CRDB haina kirefu chochote wala maana yoyote.
Ukitaka kujua kama kirefu kipo waambie wakuonyeshe BRELA wamesajili jina gani. CRDB itabaki kuwa ufupisho tu
 
Back
Top Bottom