Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,030
- 1,384
Habari za mchakamchaka wa sikukuu Wanajamvi.
Naombeni kueleweshwa kwa wale wajuvi.
Wakati benki ya CRDB inaanzishwa ilikuwa ikitambulika kama Cooperative Rural Development Bank(Benki ya wakulima au benki ya maendeleo kwa wakulima).
Je kwa sasa hivi inaitwaje hasa?
Je, ni Cooperative Rural Development Bank Bank?
[Note: Tazama Logo]