Mack Thoma
Member
- Jul 12, 2022
- 19
- 1
Eti Kama jina la baba katika cheti cha kifo kimekosewa ina madhara nikiki-attach kwenye kuomba Mkopo was chuo?
Samahan Kwan nisipo eka hiki cheti Cha kifo siwez kupataIlinitokea hiyo, ila niliambatanisha hivyo hivyo nikapata.. wengine niliokutana nao chuoni waliambatanisha hivyo hivyo (iliyokosewa) na wakakosa. Sijui wanaangalia nini ila we fikiria possibility kuwa 50%-50%.
Cha kufanya, nenda mahakamani katafute mwanasheria akuajazie affidavit na saini yake & mhuri ni muhimu. Kisha ambatanisha. Hapo ndio utakuwa kwenye safe side.
Kumbe! Sikulijua hili.Sasa tatizo nimeambiwa hakuna affidavit ya kifo yan daah
Inategemea na vigezo vyengine ulivyonavyo.Samahan Kwan nisipo eka hiki cheti Cha kifo siwez kupata