Jina Igadu na jina Intwinaka inatumika na kabila gani hapo Tanzania?

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Habari zenu wabongo? Kuna rafiki yangu African-American au Black American ambaye amefanya research ya historia yake na kugundua kwamba babu yake au kizazi chake kwa upande wa baba kinatokea Tanzania. Anasema pengine Chagga, Ngoni au kabila nyingine tu. Jina la babu yake alizopata kwa records huko Marekani ni "Igadu" na la pili ni "intwinaka". Hizi jina zinatumika na kabila gani hapo Tanzania?
 
Back
Top Bottom