Jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe. Ni Mnyarwanda na si Mkongo

Umeandika ujinga, have I ever said magu sio mtanzania?

Do I even care kabila Ni wa wapi? Sina muda wa kuhangaika kujua Nani Ni wa wapi

Ni ubaguzi wa kijinga

My point was, hii thread imo humu for years, badala ya kuja kurecycle... Someni jf kila kitu kipo

Fanya kazi ulee family... Haya mengine yanafuata watafuta damu za watu tu

Hats waki-recycle a mega times kwani tstizo liko wapi, kumbuka so kila member aliwahi kupitia babdiko la zamani. Hapa picha inaonyesha Joseph anafananasana na Kananbe kuliko Kabira - hakuna ubishi hapo, labda ukiwa ajenda ya siri.
 
Kwa ushahidi hadi wa picha mtu haelewi ni kichwa ngumu hataelewa tena labda afe azaliwe tena ndiyo atakuelewa
Yaani kuna watu wamezaliwa kuwa wabishi tu. Hata afufuliwe huyo baba yake wa kweli aseme huyu ni mwanangu, watasema ni muongo katumwa kusema hivyo.
 
soma uelewe bwana mdogo,kasoma hadi mbeya nini dar es salaam wewe?unajua hadi leo kilingala hajui kuongea?umesoma uzi ukauelewa kawa adopted yeye na pacha wake Jenny akiwa na miaka 6 wakachukua na jina la laurent kwa mujibu wa mila,ndiyo maana hata hakuona hatari kushirikiana na askari dogodogo kutoka Tanzania kumuua laurent kabila sababu hakuwa biological; father alikulia Tz kwa jina jingine siyo jina lake halisi
Lingala siyo Lugha pekee ya DRC, kuna Kikasai, Kikongo, kimanyema, nk
 
Binafsi ninaujua ukweli huu tokea miaka mingi iliyopita.
Nilianza kujiuliza maswali mengi baada ya kuona Mwal.Nyerere hamsapot tena Laurent Kabila baada ya kumwangusha Mobutu na yy(Laurent) kuapishwa kua Rais wa Zaire....Kwanini Nyerere alisita kumuunga mkono dakika za mwisho? Hapo kuna hadithi yake tena ndefu...Na je Banyamulenge(kundi la jeshi lililomsaidia Kabila 65% kumwangusha Mobutu liko wapi kwa sass? Achilia mbali kundi la jeshi wastaafu wa Tanzania walioshiriki vita hiyo.
Maswali mengine mengi yalikuja baada ya Rais Laurent Kabila kuuawa tena na walinzi wake na baadae walinzi walomuua ndio waliohakikisha Joseph anakua Raisi wa Kongo.
Baada ya maswali hayo na mengine nikaanza kuutafuta ukweli na moja kati ya ukweli huo ni huu unaolezwa hapo.
 
Kawa kawa mkibanwa mnaanza story za jikite kwenye mada.

Sio mwanachama lkn aligombea urais kupitia Chadema sio?

Kama Lowassa angeshinda urais maana yake angekua puppet wa Kagame sio?maana si alichukua pesa yake.

Daah kumbe mngeshinda mngeiweka rehani nchi.
Haha
 
Nabisha kwa kuwa Joseph kabila haitwi hivyo Jose kakulia Tanzania na kasoma hapa anafahamika vizuri huyo mwingine wamembumba tu
Hata paul makonda jina lake halisi siyo albert bashite maana kila mmoja anamfaham vizuri tu..

Historia huwa haikwepeshi kitu mkuu usiwe mbishi bila fact.
 
Hata paul makonda jina lake halisi siyo albert bashite maana kila mmoja anamfaham vizuri tu..
Historia huwa haikwepeshi kitu mkuu usiwe mbishi bila fact.
Mkuu hapa tunazungumzia utaifa wa mtu tena aliyewahi kutawala taifa kubwa zaidi afrika. Maneno mengine ni yakuyapuuza sijasema Jose kabila haitwi hivyo na wala sijakubali ila nakataa sio mnyarwanda ni mzaliwa wa kongo
 
kuna mwaka nilipata nuksi sana kongo maana ile nafika tuu Maeneo ya Lubutu nikitokea Kivu(North) nikielekea Kisangani(rejea post za wakati nikijihusisha na uwindaji ili kujua nilichofata kisangani) na machafuko yakaanza ikawa hakuna mtu kutoka wala kuingia,nakumbuka nilitoa wosia kwa kutuma msg Tanzania ya kwamba nini kifanyike ikiwa sitaludi nyunbani pawaga nikiwa hai,sasa katika maeneo baadhi wale wenyeji walilaumu sana kwamba yote wanayopitia ni kwasababu dunia imekubali watawaliwe na wanyarwanda nikadhani wanamaanisha kuwa Kabila ni kibalaka, nikipouliza walisema yeye mwenyewe ni mnyarwanda na hata akifukuzwa kongo ataenda huko kuishi ama ataenda Tanzani kwa waliomsaidia kuingia madalakani, ila alipotaka kuongea zaid rafiki yake akamwambia anyamaze maana yaweza kuwa mimi ni Shushushu maana mwonekano wangu ni kama mtusi alivyo, (mrefu, mwembamba pua imechongoka,mweusi kias),waliongea kilingala wakizani sielewi wakaondoka zao na mi nikapuuzia ile hbr....kumbe kama ningefatilia yawezekana leo hapa ningekuwa na mengi ya kuchangia
Ahsante kwako mleta mada kwa kunifungua akili na kama dongo litakuwa hai nadhani mwezi wa Saba nitakuwa Congo, nitapata ukweli zaidi
 
Binafsi ninaujua ukweli huu tokea miaka mingi iliyopita.
Nilianza kujiuliza maswali mengi baada ya kuona Mwal.Nyerere hamsapot tena Laurent Kabila baada ya kumwangusha Mobutu na yy(Laurent) kuapishwa kua Rais wa Zaire....Kwanini Nyerere alisita kumuunga mkono dakika za mwisho? Hapo kuna hadithi yake tena ndefu...Na je Banyamulenge(kundi la jeshi lililomsaidia Kabila 65% kumwangusha Mobutu liko wapi kwa sass? Achilia mbali kundi la jeshi wastaafu wa Tanzania walioshiriki vita hiyo.
Maswali mengine mengi yalikuja baada ya Rais Laurent Kabila kuuawa tena na walinzi wake na baadae walinzi walomuua ndio waliohakikisha Joseph anakua Raisi wa Kongo.
Baada ya maswali hayo na mengine nikaanza kuutafuta ukweli na moja kati ya ukweli huo ni huu unaolezwa hapo.
Hahahaha, asee
 
hata yule askari mtoto au dogodogo kama walivyokuwa wanawaita aitwaye Rashid aliyefyatua risasi ya kumuua laurent kabila wanasema ni Mtanzania na Laurent alikuwa anamuamini mno
 
Mkuu Wacongo wao wanalalamika wanasema Kabila ni Mtanzania wewe unatupeleka Rwanda...Kabila sio Mnyarwanda ila anaweza pia kuwa sio Mkongo...
 
Back
Top Bottom