wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,570
jikite kwe mada , huu uzi huyu karudia tu , upo maktaba zetu mapema sana , kuhusu lowassa kupewa hela na kagame siwezi kujadili kwa vile lowassa si mwanachama wa chadema
Kawa kawa mkibanwa mnaanza story za jikite kwenye mada.
Sio mwanachama lkn aligombea urais kupitia Chadema sio?
Kama Lowassa angeshinda urais maana yake angekua puppet wa Kagame sio?maana si alichukua pesa yake.
Daah kumbe mngeshinda mngeiweka rehani nchi.