Jina gani unaona halifai kumpa mwanao...?

John Pombe magufuli, mwigulu, nchemba, polepole, ndugai, tulia, Bulaya, mdee, majaliwa, samia, suluhu etc
Mimi binafsi siwezi kumwita mwanangu Pombe, Albert au Kisamvu. Wewe ni jina gani huwezi kumpa mwanao, awe wa kike au wa kiume?
 
Back
Top Bottom