tramadol JF-Expert Member Oct 10, 2015 5,383 4,317 Nov 12, 2017 #1 Ni jina gani limechukua umaarufu wa wiki hii na kwa nini?
Consultant JF-Expert Member Jun 15, 2008 11,401 20,661 Nov 12, 2017 #3 Bila shaka mzee wa "tufanye 800". Sijui kwanini Police wasikuachie huru tu
izzo JF-Expert Member May 31, 2015 2,812 6,381 Nov 12, 2017 #4 Billionaire kutoka Russia na mwekezaji wa viwanda 30 Tanganyika Dr lous shika
ras jeff kapita JF-Expert Member Jan 4, 2015 19,714 28,268 Nov 12, 2017 #5 Mbona inaeleweka mkuu....ama unataka kuhujumu umaarufu wa ,"mia tisa itapendeza"
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,794 Mar 18, 2018 #8 tramadol said: Ni jina gani limechukua umaarufu wa wiki hii na kwa nini? Click to expand... @demiss chamdeko
tramadol said: Ni jina gani limechukua umaarufu wa wiki hii na kwa nini? Click to expand... @demiss chamdeko
Mwifwa JF-Expert Member Apr 3, 2017 46,920 122,186 Mar 18, 2018 #9 mshana jr said: @demiss chamdeko Click to expand... Muamushe apashe kiporo naja fast maana jana sikufika kwenye tukio
mshana jr said: @demiss chamdeko Click to expand... Muamushe apashe kiporo naja fast maana jana sikufika kwenye tukio
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,794 Mar 18, 2018 #10 Mwifwa said: Muamushe apashe kiporo naja fast maana jana sikufika kwenye tukio Click to expand... Kachoka loh
Mwifwa said: Muamushe apashe kiporo naja fast maana jana sikufika kwenye tukio Click to expand... Kachoka loh