Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Thureiya mama kamwe sitokusahau tulikuwa wote ktk orphanage tulicheza wote tulikua wote tulisoma wote

I remember the day ulvyoniambia how you feel about me.. well ilikuwa lkizo tupo form Six ulikuwa ushapata family imeku adopt nlkuwa nakuja kukuona kwa kuibia and ukanitunuku uschana wako

Chuo 1st yr
I start drinking na tabia za ajabu ukanionya ukalia ukidai I'm the only family you have usingependa unipoteze kweny makundi ya ajabu nikakuapia sitorudia tena nikaacha ulipata mkopo asilimia 100 ulikuwa unani save sometimes ukanipa ela tupange tuish pamoja of course nkakubali

2nd yr
Tuliishi wote Kama mke na mume na ulinipenda kwelikweli still ulikuwa ukinifuma nikicheat ulikuwa ukilia Sana nakudanganya unatulia ..tuligombana tukaachana ukaondoka ukaenda ishi na rfk zako nkakupotezea

3rd yr
Niliadha kuzorota academically plus kulewa ukaamua unitafute ukanibadilisha ukasema unanipenda kuliko nnavyofikiria penzi likachipua

Graduation
Ulikuwa umemaliza mm bado engineer naendelea na kitabu sku hyo nlgundua una mimba yangu nlkushaur uitoe maana ungeenda Kuwa mzigo kwa your adopted family ulikataa but mwishowe nikakushawishi ukaitoa nakumbuka last kiss na goodbye

Ulipata bahat ukaajiriwa still bado namalizia last year still hukuchoka kuja kunisalimia na tuliendeleza penzi letu

Daah nimechoka kuandika ila R. I. P wewe na my unborn child umeondoka ukijua Mimi ndo mwenye hatia..nakumbuka yr last words ukitoa machoz usingependa kuniona tena ila si kweli.. Walinifunga bure tu ila ukweli ulikuja julikana na mbinu walizotufanyia sikupata chance ya kukuzika

Mali na pesa walirudisha walinilipa fidia na kunirudisha kazini ila nimeziacha nko mbali hawajui nilipo hata nikishikwa na tatizo maana najua lazima watatafuta mbinu za kunimaliza kijanja nimeandika ziende orphanage .

kweny moyo wako nadhan uliondoka ukiamini mm muhuni sio kwel ila nimeamua kuwa muhun kwel moyo wangu umeharibika
Hello mlevi, pole Kwa hayo maswahibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom