Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Hapana mkuu. Sikutaka kuweka hilo jambo kwanza coz niliona mwenzangu mtu wa dini sana so sikutaka kumkwaza na anifikirie labda namtamani kimwili. Can you believe nilikuwa kwa miaka zaidi ya mitatu lakin sikuwahi kumtaka kimapenzi?! Sijui nilirogwa na nani mimi khaaa

Ungegegeda usingeumia namna hii, pole sana
 
PENDO MAGA... ASEee kumanina zako eti....form two tulikua na mapenzi kama ya wahindi,,,nlikua nasoma uku nimelalia mapaja yako,, nyoko wewe nlijiona ni headmaster wa shule kwa kumiliki mtoto mzuri skuli nzima....mavi ya birihani weweeeee.....ukasabibisha matokeo kua mabovu ya fm 2 na 3 mchambia uso wewe....nlikulinda pendo ata walimu hawakukusumbua.....namaliza six ukanipga kibuti cha mbavu changa eti kisa umepata mwana anapga kazi voda.....unampa bwana wako sim anachat na mimi kenge wa singida wewe....sasa yule muhuni kumbe customer care....hahaahaaa....bwaahaaaa..nacheeka kwa dharauuuu...ameoa mtu mwingine najua sura imekushuka kama futari ya magimbi nyani wa gombe wewe.......yani uendelee kuaa kimya ivo ivo,,,,,ukithubutu kuntafta nakupika ftari na mishkaki afu nakufuturu......hopeless maandazi wewe.....nyoko kabisaaaaa..kwanza
mamaeee we....

.
Ha ha ha Dah.... Shikamoo Headmaster
 
Ulaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.

Hii ilikuwa bahati iliyoje, yaani hapa ungecharaza mtaa mzima, shule nzima dadekiii
 
he
Anna ulijifanya kunisaliti zaidi ya Yuda eti unaolewa na TISS Jambazi mkubwa chakubanga Ulaaniwe wewe na kizazi chako Jina lako nimeliandika mabibo hostel Ulinifanya niishi Kama Kiboko nakula mlo mmoja ili nikufirahishe ila mshenzi ulichonifanyia hadi shetani akinionea huruma nasikia umeolewa mbezi jogoo na shayo TISS alienitishia kuni kill nitakuletea chu**p**i yako
he!Jesus of Nazareth!
Mungu akuponye moyo wako kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom