Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,988
- 22,377
Pole sanaErick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia
Pole sanaErick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia
Mtaje tuu maana hauko peke yakoJina la wangu liko so unique nikilisema atanifahamu bila shida yoyote
Alikupenda mkuu??kwann umempiga matukio?Bro yaani demu alinipenda balaa....
Hapa natafuta mwengine atakaejichanganya maana mm huwa siwatongozagi huwa wanajichanganyaga wenyewe
Tumeisha samehe ila hatuwezi kuwasahau.Naona huu uzi kila mtu alietendwa anatoa laana,basi safisheni mioyo yenu,sameheni,yaliopita si ndwele,ila nimegundua kuwa wengi mliotendwa pia mlikuwa mnazini tu nje ya ndoa,na pengine hao waliowatenda wengi wameolewa na wametulia sasa,haya badilikeni subirini na nyie muoe,haya yote yaliowakuta ni nadra sana kukutana nayo ukiwa umeoa ingawa yapo...
nilimla ila sasa alinilewesha nikawa sielew wala sisikii...yule mtoto atakua alikua mchawi..mavi ya bibi yake yuleeLakini si ulimlaa mkuu
Kumbe hujamaliza kumpa vipande vyake??nilimla ila sasa alinilewesha nikawa sielew wala sisikii...yule mtoto atakua alikua mchawi..mavi ya bibi yake yulee
hahaaahaaa....kwahyo alitoa taarifa ya ukweli mpaka wenzie wanajilengesha kuhakiki uwepo wa goviUlaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.
mkuu yani uzi huu umekuja kama zari..atleast nimepunguza hasiraKumbe hujamaliza kumpa vipande vyake??
Maan kila koment unatia na kibwagizo cha michambo,,dadeki ha ha ha
Maliza kabsa hasira sasa,zen Taft bidada mwngn ila usibwage moyomkuu yani uzi huu umekuja kama zari..atleast nimepunguza hasira
mkuu ni manzi angu wa kwanza alafu ni mda mrefu kidogo...asa nikaona hii fursa niitumie kumpa vipande vyakeMaliza kabsa hasira sasa,zen Taft bidada mwngn ila usibwage moyo
Nipo mkuuupogo...........
Ulaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.
Tina, Tina, Tina.
Nimekuita mara tatu paka mwitu ww, na utalaanika kulalekiiii.
Da nimecheka balaa!Kuna mtu kanitaja humu, nakat yeye ndo alinisaliti. Na mimi nasema mbweha mkubwa wewe,mweusi kama ukuta wa jikoni, demu gan unakula sahan nzima ya ugali kama ulizaliwa mashine.
Yohana alcohol nyambaf
wewe fidodingo,shenzi wewe,after all that you have done to me ukaona unidhalilishe mbele ya wazazi wangu na ndugu zangu/marafiki......yaani mpaka leo nikiongea nao naona kama wanaona utupu wangu,FUKC YOU again FUKC YOU.......................some people comes in our lives as a lesson,was soo young to be in sexual relationship,na una bahati nimepoa nilikua NITEMBEE/HAVE SEX WITH ALL YOUR FRIENDS NA MAPICHA NIKUTUMIE wewe FISI MAJI WE!