Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Naona huu uzi kila mtu alietendwa anatoa laana,basi safisheni mioyo yenu,sameheni,yaliopita si ndwele,ila nimegundua kuwa wengi mliotendwa pia mlikuwa mnazini tu nje ya ndoa,na pengine hao waliowatenda wengi wameolewa na wametulia sasa,haya badilikeni subirini na nyie muoe,haya yote yaliowakuta ni nadra sana kukutana nayo ukiwa umeoa ingawa yapo...
Tumeisha samehe ila hatuwezi kuwasahau.
 
Ulaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.
hahaaahaaa....kwahyo alitoa taarifa ya ukweli mpaka wenzie wanajilengesha kuhakiki uwepo wa govi
 
wewe fidodingo,shenzi wewe,after all that you have done to me ukaona unidhalilishe mbele ya wazazi wangu na ndugu zangu/marafiki......yaani mpaka leo nikiongea nao naona kama wanaona utupu wangu,FUKC YOU again FUKC YOU.......................some people comes in our lives as a lesson,was soo young to be in sexual relationship,na una bahati nimepoa nilikua NITEMBEE/HAVE SEX WITH ALL YOUR FRIENDS NA MAPICHA NIKUTUMIE wewe FISI MAJI WE!

Damn Becky, hii balaa ya yote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom