Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Gloria, mdada mpole, anaejiamini, mpenda dini na muimba kwaya mzuri! Siku nimekuja kugundua unatembea na Boss wangu kisa yeye ni mlezi wa kwaya kanisani kwenu....nikafukuzwa mpaka na kazi sababu niligundua unachofanya na boss wangu, ila nashukuru maana nimekuja kupata kazi bora zaidi....matokeo yake mpaka sasa hivi huna pa kwenda na ulijua fika boss ameoa...wewe ni mjinga sijapata ona, ukiendelea nitumia sms zako za kuomba msamaha ntazisambaza sasa...utaona tu hii post najua... All The Best, sikulaani wala nini, ndo maisha ulochagua
 
Yote tu mamalaya mkuu yani wale waliosoma kuanzia 2014-2017 na hata walioendelea hakuna mwanamke pale ni visanga unaweza ukagonga darasa zima na wanajuana wakikuona unakahali tu cha maisha.

Ubaya wao mnakula wengi vibaya mno hakuna cha peke ako sasa mimi nilikuwa zuzu napenda kabisa kwa hiyo kuumia niliumia sana.
Kuna wakati nlialikwa na malaya mmoja alikuwa anamaliza diploma Singida Tc aisee tulikumbana walaji kama saba kati yetu watatu ni wanafunzi wenzake haki ya Mungu nilipandwa mori ngoja niishie hapa
Unapenda kabisa darasa zima doh kweli we kiboko
 
Anitha anitha anitha, we kiboko mtoto wa kihaya!
Nilidet na WEWE afu nakuja kukupima nakukuta una HIV+, imagine umemgegeda mtu kavu kavu, afu unampina, unamkuta hivo,kipi utafanya? Nilishawah kutoa ushuhuda Mara baada ya kutumia PEP, na Niko poa mpka Sasa, ila Anitha,Mungu anakuona
Huyu anitha wa wapi??
 
coletha ex wangu mbuzi mwenye minyoo kabisa wewe, tena familia yenu ipigike hivo hivo dingi yako asipate hata buku ya nauli *"£##£# kabisa yaani jua la shida liwawakie hadi mpoteane humo ndani kwenu na dalili zishanza kuonekana

Nilikuthamini kumbe kis** mi tu wewe nyoooo
 
coletha ex wangu mbuzi mwenye minyoo kabisa wewe, tena familia yenu ipigike hivo hivo dingi yako asipate hata buku ya nauli *"£##£# kabisa yaani jua la shida liwawakie hadi mpoteane humo ndani kwenu na dalili zishanza kuonekana

Nilikuthamini kumbe kis** mi tu wewe nyoooo
Mkuuu umenishinda aiseeeeeee. Nimecheka hadi nimenyamba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom