supercharger GT
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 1,007
- 1,944
Gloria, mdada mpole, anaejiamini, mpenda dini na muimba kwaya mzuri! Siku nimekuja kugundua unatembea na Boss wangu kisa yeye ni mlezi wa kwaya kanisani kwenu....nikafukuzwa mpaka na kazi sababu niligundua unachofanya na boss wangu, ila nashukuru maana nimekuja kupata kazi bora zaidi....matokeo yake mpaka sasa hivi huna pa kwenda na ulijua fika boss ameoa...wewe ni mjinga sijapata ona, ukiendelea nitumia sms zako za kuomba msamaha ntazisambaza sasa...utaona tu hii post najua... All The Best, sikulaani wala nini, ndo maisha ulochagua