Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Erica umenifanya kitu kibaya sana duniani hapa toka nizaliwe..nilikuwa si MTU wa kupenda penda ovyo.
Sasa ikatokea ukaonyesha kunipenda na mm nikaanza kukupenda sana.uliniovyesha sana kuni-care na kunipa penzi moto moto..
Nikaliachia kwako ..ukaanza kuonyeha makucha yako.
Nikawa kama zuzu..nimelia machozi kwa ajili yako.nimeumwa kwa ajili yako.nilikonda kwa ajili yako..nikawa na depression, stress na mood disorder kwa ajili yako.
Nikawa hata nikiona picha yako mapigo ya moyo yanaenda kasi.
Ukinitumia SMS ya shit zako nakpsa nguvu hata ya kutembea na hata kula nilikuwa sili.
Suruali zangu zote zikawa zinanipwaya hata baadhi ya business zangu zikawa zinayumba na ku-delay.muda wote nakuwaza wewe..
Unanitafutia makosa na kutishia kuniacha hata kama chanzo ni wewe,mwisho wa siku msamaha naomba mm.sijui uliniroga wewe mshenzi ,hukuwa na huruma nami tena pamoja na kuniona nikiteseka.
Nils pots a hamu na hobbies zangu zote.
Sina mengi ya kusema ila namuomba Mungu akulipe kadili ya matendo yako kwangu ,binadamu gani usiye na chembe ya huruma wewe.
Yaani kwa matendo yote niliyokufanyia kuonyesha nakupenda ...karma inakusubiri wewe binadamu mwenye roho mbaya kumzidi hata shetani.
Yaani mm nateseka mpaka shetani ananionea huruma...Raana ziwe juu yako kwa uhayawani wako!!!
 
Tena nakuomba upate mapigo zaidi aliyokayapata Phirauni !
Maana siyo kwa mateso na karaha uliyokanipa ..
Hata shetani alichukia!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom