Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.

1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?

3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.

4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.

4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.

Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.

Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
Lucy..........
 
wa kwangu mie itabidi wote wanipishe nitoe povu langu ni la kitofauti kidogo
Aise, pole sana best. Siku ukiamua kutoa mapovu nitag nione hilo povu mimi nashukuru jina langu halijatajwa labda liko unique kidogo 😄😄😄.

Na kwa dada Niliyempenda ndio niko nae hadi hii leo, ingawa sometimes kuna ups and downs ila bado tuko nae, maybe pia kwa sababu pia ana jina unique sijaona hakitajwa hapa.
 
Jenny kwa ujinga ulionifanyia utalaaniwa wewe na kizazi chako ,nilikupenda na tumbo lako kubwa kama nguruwe mwenye mimba lakini bado hukuona thamani yangu,pamoja na kuwa makalio uliacha huko rombo lakini mimi nilikuthamini, ila bado thamani yangu hukuiona kumanina wewe,nilikupenda ulivyo na miguu yako isiyo na nyama kama kunguru mpumbavu wewe bado hukujua thamani yangu, nakwambia shetani wewe wa kike ujinga ulionifanyia na wewe Mungu atakulaani na hutakaa uolewe ,endelea kuburudisha wanaume mpaka nyeti imeota sugu kama ngozi ya goti,,
Kwa niaba ya Jenny aliyenitenda nasema akina Jenny wote kumanina zenu.
sio kwa kichambo hiki Jeny hebu njoo
 
Winnie Malaya mkubwa wewe popote ulipo nakulaani sana umenifanya sijaoa mpka leo pamoja na kunidhulumu bado nimesimama kuliko awali!
Yaani wewe ni bora hata usingekuwa unashinda kanisani maana shetani kaweka makazi ndani yako!
Mpare wahed wewe nakuchukia kuliko wote dunia nzima

Hv kumbe nanyi mnapata kiboko zenu eeh
 
coletha ex wangu mbuzi mwenye minyoo kabisa wewe, tena familia yenu ipigike hivo hivo dingi yako asipate hata buku ya nauli *"£##£# kabisa yaani jua la shida liwawakie hadi mpoteane humo ndani kwenu na dalili zishanza kuonekana

Nilikuthamini kumbe kis** mi tu wewe nyoooo
 
Jenny kwa ujinga ulionifanyia utalaaniwa wewe na kizazi chako ,nilikupenda na tumbo lako kubwa kama nguruwe mwenye mimba lakini bado hukuona thamani yangu,pamoja na kuwa makalio uliacha huko rombo lakini mimi nilikuthamini, ila bado thamani yangu hukuiona kumanina wewe,nilikupenda ulivyo na miguu yako isiyo na nyama kama kunguru mpumbavu wewe bado hukujua thamani yangu, nakwambia shetani wewe wa kike ujinga ulionifanyia na wewe Mungu atakulaani na hutakaa uolewe ,endelea kuburudisha wanaume mpaka nyeti imeota sugu kama ngozi ya goti,,
Kwa niaba ya Jenny aliyenitenda nasema akina Jenny wote kumanina zenu.
Aiseee
 
Asante mkuu ila we pia usiumize wengine maana si umesikia vilio vya humu ndani!
Ndo mjue wanaume huwa tunapenda kweli na ndo maana tunaumia sana.
Mi sijawai umiza mtu kama mtu simtaki au simpendi hata attention yangu hapati ila naumizwa tu sana...

Wanaume hamna upendo nyie ni hodari kwa kupretend, mngekuwa mnapenda kweli kusingekuwa na vilio mtaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom