Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

Jenny kwa ujinga ulionifanyia utalaaniwa wewe na kizazi chako ,nilikupenda na tumbo lako kubwa kama nguruwe mwenye mimba lakini bado hukuona thamani yangu,pamoja na kuwa makalio uliacha huko rombo lakini mimi nilikuthamini, ila bado thamani yangu hukuiona kumanina wewe,nilikupenda ulivyo na miguu yako isiyo na nyama kama kunguru mpumbavu wewe bado hukujua thamani yangu, nakwambia shetani wewe wa kike ujinga ulionifanyia na wewe Mungu atakulaani na hutakaa uolewe ,endelea kuburudisha wanaume mpaka nyeti imeota sugu kama ngozi ya goti,,
Kwa niaba ya Jenny aliyenitenda nasema akina Jenny wote kumanina zenu.
 
Mlaaniwe madem wote wa utumishi, Singida TC na Uhasibu Singida mlinifanya fala kumbe ni malaya hivyo ni mamama huruma kiasi hicho mnamegwa na vibabu mnanitaka kwa sababu zenu binafsi kuniongopea kumbe mnakazwa huko.

Nasemaje mbwa nyie woteee tabia zenu ni moja kama una dem au mke anasoma kwenye hivyo vyuo Mkoa wa singida huna chako manina

Hahahahha ukionaa manyoyaaaa...
 
Winnie Malaya mkubwa wewe popote ulipo nakulaani sana umenifanya sijaoa mpka leo pamoja na kunidhulumu bado nimesimama kuliko awali!
Yaani wewe ni bora hata usingekuwa unashinda kanisani maana shetani kaweka makazi ndani yako!
Mpare wahed wewe nakuchukia kuliko wote dunia nzima

Duuu
 
Anitha anitha anitha, we kiboko mtoto wa kihaya!
Nilidet na WEWE afu nakuja kukupima nakukuta una HIV+, imagine umemgegeda mtu kavu kavu, afu unampina, unamkuta hivo,kipi utafanya? Nilishawah kutoa ushuhuda Mara baada ya kutumia PEP, na Niko poa mpka Sasa, ila Anitha,Mungu anakuona

Ebana eee
 
Samweliii mbwa wewe huna shukrani pamoja na kuku saidia ada umalizie chuo ukajiona mjanja mie mbwisi! Ila poa nime furahi mpka wine nimekunywa nime sikia kazini wamekupiga chini! Hahahaaaaa ulini fanya niwe kama chizi barabarani nusu nigongwe na magari kwa kukuwaza kwendraaaaaa
 
Jenny kwa ujinga ulionifanyia utalaaniwa wewe na kizazi chako ,nilikupenda na tumbo lako kubwa kama nguruwe mwenye mimba lakini bado hukuona thamani yangu,pamoja na kuwa makalio uliacha huko rombo lakini mimi nilikuthamini, ila bado thamani yangu hukuiona kumanina wewe,nilikupenda ulivyo na miguu yako isiyo na nyama kama kunguru mpumbavu wewe bado hukujua thamani yangu, nakwambia shetani wewe wa kike ujinga ulionifanyia na wewe Mungu atakulaani na hutakaa uolewe ,endelea kuburudisha wanaume mpaka nyeti imeota sugu kama ngozi ya goti,,
Kwa niaba ya Jenny aliyenitenda nasema akina Jenny wote kumanina zenu.
Duh hatar hii kudamdesa
 
Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.

1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?

3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.

4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.

4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.

Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.

Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
Jina lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom