Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

ndege joni

JF-Expert Member
May 23, 2017
673
1,083
Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.

1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?

3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.

4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.

4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.

Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.

Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
 
Mie ni wanahawa.....kila akigegedwa lazima ataacha lundo la nguo nyumbani, mwisho wa siku akawa na sanduku zima kwangu mpaka akawa akitoka kutoka out na wenziwe anakuja kuchange nguo kwangu, kumfukuza niliona haibu. Hakuwa demu wangu ila alikuwa ni mshikaji tu wa gegedo, yeye akitaka anakuja kwangu kwa ukarimu na tulizoeana kihivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom