Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

ndege joni

ndege joni

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Messages
426
Points
1,000
ndege joni

ndege joni

JF-Expert Member
Joined May 23, 2017
426 1,000
Mimi binafsi huwa sipendi kusikia jina Lucy. Ooohhh what's the f**ck lucy. Hujawahi kuacha moyo wangu salama baada ya kunisaliti live. Nilijifunza vingi kwako ambavyo mpaka sasa nikikutana na mwanamke anavyo sitakuwa na mahusiano nae.

1. Ni mwongo kiwango cha lami na simu zake zimepandiliana pin kila sehemu.
2. Muda wote anachat whatsapp sms fb... n.k lakini ukiotea simu yake haina sms hata moja. Zinaendaga wapi?

3. Kuna siku alinidanganya kuwa anaenda sehemu sitaki kuitaja humu ila cha ajabu nikamkuta yuko na lijamaa lenye pesa zake. Hakuniona nilipokuja kumuuliza ana tabia ya kujihami kwa kukasirika. Whats the hell is this.

4. Nilikuwa mwaminifu kwa sababu niliona ni mzuri sana kwa sura na wote ni waajiriwa wa serikalini. Sikuona haja ya kuleta magonjwa ndani... Kila niliyemwona sikuona kama anamzidi but one day you gave me STIs na nilipomuuliza whats this f**ck ulinirudishia mpira.

4. Ni miaka miwili tangu tuachane nilimwomba Mungu akanipa "Vmoney". Wallah sijajuta kumpata. Mwanzoni nilidhani wanawake wote wako kama wewe... kumbe kuna watu na viatu. I love V but huwa naomba nisikutane na wewe kwani nikikuona I see all the things in you. Nakuona kwa ndani wengi wasivyokufahamu.

Kama bado hujapata mchumba Lucy badili kwanza tabia... Nahisi mimi sio wa kwanza kunifanyia hivyo. Muda unaenda two years later utakuwa na mwonekano mwingine. Angalia future yako sio sura ya sasa.

Nakuambia utashangaa..... seriously utabiri wangu hujawahi kumwacha mtu salama. Samahani wanajukwaa kwa kuleta agenda yenye ukweli mtupu. Bila hata ya chenga la hata jina la mhusika
 
nelvine

nelvine

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Messages
567
Points
1,000
nelvine

nelvine

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2015
567 1,000
PENDO MAGA... ASEee kumanina zako eti....form two tulikua na mapenzi kama ya wahindi,,,nlikua nasoma uku nimelalia mapaja yako,, nyoko wewe nlijiona ni headmaster wa shule kwa kumiliki mtoto mzuri skuli nzima....mavi ya birihani weweeeee.....ukasabibisha matokeo kua mabovu ya fm 2 na 3 mchambia uso wewe....nlikulinda pendo ata walimu hawakukusumbua.....namaliza six ukanipga kibuti cha mbavu changa eti kisa umepata mwana anapga kazi voda.....unampa bwana wako sim anachat na mimi kenge wa singida wewe....sasa yule muhuni kumbe customer care....hahaahaaa....bwaahaaaa..nacheeka kwa dharauuuu...ameoa mtu mwingine najua sura imekushuka kama futari ya magimbi nyani wa gombe wewe.......yani uendelee kuaa kimya ivo ivo,,,,,ukithubutu kuntafta nakupika ftari na mishkaki afu nakufuturu......hopeless maandazi wewe.....nyoko kabisaaaaa..kwanza
mamaeee we....

.
Jomba ulijiona head master
 
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
5,430
Points
2,000
Prince Mhando

Prince Mhando

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
5,430 2,000
heading uliyoandika ni tofauti na madudhui ya ujumbe wako....

kwakifupi hakuna mtu ambaye ahajawahi kabisa kuumizwa kwenye mapenzi....mapenzi yaliwaumiza...yatatuumiza na yatazidi kuwaumiza....kikubwa ni kujikaza kufuta machozi na kusonga mbele....chukulia kuwa maumivu ambayo mtu anakusababishia ni darasa...upo darasani na mwisho wa siku ni lazima ufanye mtihani...ukiferi kukabiliana na maumivui ya mapenzi utajiferisha mwenyewe kwenye mtihani wa maisha...
 
giraffe

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Messages
561
Points
250
giraffe

giraffe

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2010
561 250
Ulaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.
 
T

the say

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Messages
1,536
Points
2,000
T

the say

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2014
1,536 2,000
Kuna msenge anaitwa Anna uyu mmbulu wa katesh uyu kumanina zake mateso aliyonipa malaya uyu. One day tu ntakuonyesha.

Kuna mbuzi anaitwa Beatrice dah uyu mhehe uyu kumanina zake, nililijua Gono kupitia kwako we malaya, nimechoma sindano za penaduu matako hadi yanaganda kumamae dah

Kuna kenge inaitwa Christina, dah we mbena wew ulisababisha hadi nipate Sup Chuo mamaeee sana wewee.

Kuna uyu Nguchiro Mariam lichaga lisilo na shape kama ya simba dume, dah Mamaeeeee we Msenge weweeeee Nimevuta Bhangi kwa Ajiri Yako,

Mlaaaniwe ***** zenu, Ndiyo Maana hadi Sasa Hamjaolewa Mnapimwa tu Oil kumamae nyie.
Pole mkuu
 
mpalinga muna

mpalinga muna

Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
36
Points
125
mpalinga muna

mpalinga muna

Member
Joined Apr 23, 2015
36 125
Naona huu uzi kila mtu alietendwa anatoa laana,basi safisheni mioyo yenu,sameheni,yaliopita si ndwele,ila nimegundua kuwa wengi mliotendwa pia mlikuwa mnazini tu nje ya ndoa,na pengine hao waliowatenda wengi wameolewa na wametulia sasa,haya badilikeni subirini na nyie muoe,haya yote yaliowakuta ni nadra sana kukutana nayo ukiwa umeoa ingawa yapo...
Tumeisha samehe ila hatuwezi kuwasahau.
 
J

juma mpemba

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Messages
1,286
Points
2,000
J

juma mpemba

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2017
1,286 2,000
Ulaaniwe Suzy kunitangazia mtaa mzima nina Govi ,likizo ya mwezi Wa sita nikajipeleka mwenyewe mwananyamala hosp.Sasa kuna wale waliokuwa wanajilengesha kuprove kama Kweli Nina Govi au laa !walipata tabu saana.
hahaaahaaa....kwahyo alitoa taarifa ya ukweli mpaka wenzie wanajilengesha kuhakiki uwepo wa govi
 

Forum statistics

Threads 1,315,083
Members 505,130
Posts 31,847,407
Top