Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

mtoa post hata mm Lucy alichonifanyia c poa kabxa,haya majika ya lucy huwa hata nkimtingoza dm akijitambulisha kwa jina hilo huwa napiga chin
 
coletha ex wangu mbuzi mwenye minyoo kabisa wewe, tena familia yenu ipigike hivo hivo dingi yako asipate hata buku ya nauli *"£##£# kabisa yaani jua la shida liwawakie hadi mpoteane humo ndani kwenu na dalili zishanza kuonekana

Nilikuthamini kumbe kis** mi tu wewe nyoooo
Dah we jamaa ni nouma sio kwa maombi hayo,
Yaan umeiombea familia nzima
 
Anitha anitha anitha, we kiboko mtoto wa kihaya!
Nilidet na WEWE afu nakuja kukupima nakukuta una HIV+, imagine umemgegeda mtu kavu kavu, afu unampina, unamkuta hivo,kipi utafanya? Nilishawah kutoa ushuhuda Mara baada ya kutumia PEP, na Niko poa mpka Sasa, ila Anitha,Mungu anakuona
Duh...
 
Usishangae Shadeeya ndo Dunia ilivyo!

Jina lingine la kulaaniwa kwangu ni TECNO!
TECNO TECNO TECNO!!
Yaani nilijichanga mwenyewe nimiliki simu janja nikaangukia mikononi mwa huyu TECNO
alichonifanyia baada ya miezi mitatu daaah!
Bora ningebaki na kitochi changu na zingine nikanywea biere!!!
Pole sana aiseee.

Ila Mkuu Tecno hujailaani sana kama Winnie. 😀😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom