BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Yohana alcohol nyambaf
Yohana alcohol nyambaf
Hahahahah wife, hamjaambiwa muwatukane!!!Yohana alcohol nyambaf
We ni jinsia gani mkuu?Teopisto a.k.a tonny malipo ni hapahapa duniani hanith kiuno mkubwa we
Machame mojadaah consolatha mullo popote ulipo..huyu mchaga nlimpenda mnoooo ila alicho nifanyia sito msahau
Sijatukana switi yani hili jina linanikera kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni n.kHahahahah wife, hamjaambiwa muwatukane!!!
hahahaaa, kimwili na kiakil piaSijatukana switi yani hili jina linanikera kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni n.k
Wamezidi majina ya "Salome" Kila mkoa nikitua tuhhh lazima nipate mchumba wa Jina Hlo.Jackline,mpaka leo unatapatapa.Mwanamke gani,laghai usieridhika?Na nimegundua baada ya utafiti ,Wakina Jackline wengi ni majanga.
Oyaa jomba Hawa wote uliwapenda?Zuhura,Anna,Hilda,Felister,Marry mkafie mbele
Pole best!!! Sipati picha.Erick..... Popote ulipo moto ukuwakie..... Sio kwa maumivu Yale uliyonipa mpk nkanywa sumu daaaah...... Popote ulipo nakuchukia