Jina Dr. Magufuli latawala kila mahali uchaguzi mkuu wa Kenya. Tanzania tunapata ujumbe gani?

Hii ni kampeni ya leo Mathare mjini Nairobi
Nimesikiliza sana sikusikia jina Magufufi likitajwa popote.
Acheni uongo.​
 
IMG-20170716-WA0012.jpg

Bungoma Gubernatorial candidate on ODM ticket Hon Alfred Khang’ati aka Magufuli, addresses his supporters during the launch of his campaign manifesto yesterday at Bungoma Posta Grounds.
 
Kiutendaji /uchapa kazi tutakesha hadi asubuhi, hakuna wa kulingana na Magufuli, sio Kenya sio Tanzania sio Uganda wala wapi ,sema ana mapungufu yake ya mambo ya demokrasia etc, lakini kwa kazi jamaa linachapa hapa tuseme tu ukweli. Magufuli huyu kwa speed hii yaani hadi linamaliza muda wake Tanzania yote itakuwa na maji, Barabara ,reli ,shirika la ndege litasimama na umeme kote, pia viwanda vitajengwa na shirika la ndege litaimarika, abane tu mianya ya wizi na akusanye pesa za kutosha hapo ndo JPM tutakampomkubali.
 
Hii ni kampeni ya leo Mathare mjini Nairobi
Nimesikiliza sana sikusikia jina Magufufi likitajwa popote.
Acheni uongo.​

Sawa hajatajwa...na sio kuwa ndiyo kila kampeni Dr Magufuli anatajwa tu hapana.Ila jua kuwa ktk kampeni hizi anatajwa sana.
 
Nafuatilia kwa karibu kampeni za Kenya kwa sababu TV za Kenya zinatowa coverage ya haki sawa kwa Jubilee na NASA.

Hizi ni taarifa za uongo na umbea mtupu na kujipendekeza tu, nonsense.

Nilimsikia Odinga mara moja tu akitamka kwamba atachukuwa Tanzania kwa Magufuli dawa ya ufisadi. Acha kudanganya watu wasiofuatilia kinachoendelea Kenya.

Jambo la maana nililojifunza kwa wenzetu ni mdahalo wa wagombea wenza yaani makamu wa Rais, huu ni utaratibu mzuri pia tuige kwa wenzetu, hawa kina Samia Suluhu nao ni lazima wafanyiwe mdahalo wao.

Swali ninalojiuliza hivi Watanzania bila unafki na uongo maisha huwa hayanogi?
Nilikua natafuta post kama hii, sio mtu anatuambia kila mkutano..kila mgombea... wakati hata tv hana nyumbani

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Kiutendaji /uchapa kazi tutakesha hadi asubuhi, hakuna wa kulingana na Magufuli, sio Kenya sio Tanzania sio Uganda wala wapi ,sema ana mapungufu yake ya mambo ya demokrasia etc, lakini kwa kazi jamaa linachapa hapa tuseme tu ukweli. Magufuli huyu kwa speed hii yaani hadi linamaliza muda wake Tanzania yote itakuwa na maji, Barabara ,reli ,shirika la ndege litasimama na umeme kote, pia viwanda vitajengwa na shirika la ndege litaimarika, abane tu mianya ya wizi na akusanye pesa za kutosha hapo ndo JPM tutakampomkubali.
Na iwe kama ulivyonena.
 
Nilikua natafuta post kama hii, sio mtu anatuambia kila mkutano..kila mgombea... wakati hata tv hana nyumbani

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Kwani akitamkwa kwa kila mkutano au kila mgombea akimtaja...Kuna Kitu unapungukiwa?
 
Hii ni kampeni ya leo Mathare mjini Nairobi
Nimesikiliza sana sikusikia jina Magufufi likitajwa popote.
Acheni uongo.​

Sanko pia alikuwa anazinduwa Manifesto yake Jijini Nairobi alikuwa live Citizen tv sikusikia lolote akitajwa Magufuli hata mara moja.

Miccm inauguwa gonjwa la unafki.
 
Nimefanya kazi Kenya miji ya Nakuru,Kakamega,Nairobi na Mombasa.

Kenya wao walichokichukua kwa Dr Magufuli ni namna anavyofanya kazi hasa ktk kutatua matatizo ya wanainchi na ndiyo sifa inayombeba huko nje ya nchi.

Hayo sisi tunayoyaita ukandamizaji wao hawayajui kwasababu hayawagusi ila wewe na Mimi tuliopo hapa ndiyo tunaweza kuyazungumzia.

Kutokana na utumishi uliotuka wa Dr Magufuli ktk kushughulika na hayo matatizo ndiyo maana kila mmoja anaona ni kiongozi mwenye ujasiri na anayeweza kusema jambo na likawa na imeonekana wazi.

Na zaidi Dr Magufuli amekuwa field yeye mwenyewe na kutoa maagizo na kuchukua hatua Kali kwa watumishi husika.
Kama umekaa kweli Kenya hebu tueleze sabasaba huko Kenya ni siku ya tukio gani?
 
Mkuu unamaanisha Uhuru sio team
Lowassa? Kama ni kweli siasa ya Africa ni ngumu. Pamoja na CHADEMA kumuunga mkono Uhuru, Uhuru anajifananisha na hasimu wao. ....

Uhuru ndio kabisaaa akiwa Mombasa alitamka waziiii wakimchagua tena atafuta ufisadi kama Mh. Rais JPM..
 
H. E. President JPM is the superb ever President.. ndio maana yake
Kenya kila mgombea anasema atafanya kama JPM.. Alafu najisikia fahari kweli kwangu na nchi yangu kuwa na Rais kama JPM..

Nasema toka rohoni na moyoni. JPM amekuwa lulu sbb ni moja tu, Hapa kazi tu, hakuna ujinga ujinga.. Kenya yooote mara Raila mara Uhuru.. wanajinadi mkinichagua i will follow JPM leadership style... Haaaaaaaaa

We love you JPM..
Unaumwa mav.i wewe.mfy.y.uuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whatwouldmagufulido is dead and buried. Muda huu anatuhumiwa kwa udikteta na kutaka kuvuruga uchaguzi wa Kenya. Watanzania huku hatuna amani kabisa.
usiwasemee watu,kama huna wewe amani shauri yako wengine tuna amani
 
Back
Top Bottom