the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,761
- 832
Since way back sikuwa napenda kusikiliza Clouds FM kwa sababu ya style yao ya uongeaji hasa Adam Mchomvu, B12 na wengineo, so nikawa a big fun of Choice FM always nawasikiliza, ila kuna watu wawili wanaboa sana kwenye kipindi cha mchana baada ya kipindi cha The fix, I mean Abby na Jimmy kabwe.
They talk about issues it's a good thing lakini mbwembwe, utani, kuigiza uzungu hadi wanaboa kama unasikiliza Choice fm mchana utakuwa umenielewa.
They talk about issues it's a good thing lakini mbwembwe, utani, kuigiza uzungu hadi wanaboa kama unasikiliza Choice fm mchana utakuwa umenielewa.