Ni kweli angalau kwa kiwango cha kijiji. Iweje Mbunge anayepata mshahara wa milioni zaidi ya 10 x 12 = milioni 120 x 5 yrs = milioni 600 + marupurupu bado uwe na umaskini kichwani? UMaskini unapatikana pale wanaokuzunguka wanapokuwa na mali kuliko wewe. Ktk kiwango cha mbunge, tayari unakuwa kwenye kundi la wenye mali.Mkuu, ubora haupatikani ndani ya umasikini. Wenyeviti wa vijiji wengi ni masikini. Ukiwa masikini kamwe huwezi kuwa na msimamo and watawala wanaichukua hiyo kama fursa.
Hapo ndo nalaani ubora wao wa kutotambua hilo, hata kama utpewa dau kubwa la kukununua.