Jimboni kwa Mbowe kwafuka moshi: Wenyeviti wa Serikali za vijiji 19(CHADEMA) wajiuzulu na kujiunga CCM

Mkuu, ubora haupatikani ndani ya umasikini. Wenyeviti wa vijiji wengi ni masikini. Ukiwa masikini kamwe huwezi kuwa na msimamo and watawala wanaichukua hiyo kama fursa.
Ni kweli angalau kwa kiwango cha kijiji. Iweje Mbunge anayepata mshahara wa milioni zaidi ya 10 x 12 = milioni 120 x 5 yrs = milioni 600 + marupurupu bado uwe na umaskini kichwani? UMaskini unapatikana pale wanaokuzunguka wanapokuwa na mali kuliko wewe. Ktk kiwango cha mbunge, tayari unakuwa kwenye kundi la wenye mali.

Hapo ndo nalaani ubora wao wa kutotambua hilo, hata kama utpewa dau kubwa la kukununua.
 
Tamaa ya kupata zaidi nayo inaweza kuwa sababu, au kuelemewa na madeni. Akijitokeza mfadhili kutoa masharti kuwa ukifanya x nitakupa y wanakubali, maana hesabu zote za kulipa madeni zinakuwa zimefeli... Kama ulivyosema lipo tatizo la msingi kwenye siasa zetu.
 
Mbali na kununuliwa kutakua na sababu ndani ya chama zinazowapelekea wao kukihama chama chao, haiwezekani kila siku iwe CHADEMA tu kwani hakuna vyama vingine vya upinzani? Halafu badala ya watu kijiuliza ni nini hasa chimbuko la haya yote! mnakuja na majibu rahisi tu eti wananunuliwa! mbona hatujawahi kusikia au kuona ushahidi wa kiongozi wa upinzani aliyetaka kununuliwa akagoma!? Viongozi wa juu wa CHADEMA mnapaswa kujitathimini na sio kutoa majibu rahisi kwa mambo makubwa kama haya.
Ya Mnyeti na wale madiwani wa Arumeru hukuyasikia au unazugisha????
 
Endelea kumsifu lakini msimamo wangu ni kwamba sijawahi sikia dunia nzima muendesha Casino akageuka kuwa mtu wa maana na baadaye apewe kuongoza nchi. Where on earth?
Kwa nini DJ Alikuwa Rais Madagascar Atashindwa vipi mmiliki wa Casino?? Na Mmiliki wa macasno Trump kawa Rais Atashindwa vipi Mbowe?? Lete sababu zingine.
 
Hawana impact yoyote kwani ni wa kwenye makaratasi tu hao na hawana umuhimu kama wanachama wamebaki kukutii chama badala ya mtu!
Cdm ni wanachama na sio mabalozi na wabunge na madiwani ndumilakuwili ambao wakionyweshwa Msimbazi tu washamba hovyo! Cdm inakwenda kuimarika na kutisha sana.
Wewe ni Sungura uliyekosa ndizi mbivu.Anyway ngoja tusubiri kama kweli CDM itaimarika.Muda ndio Hakimu.
 
Wewe ni Sungura uliyekosa ndizi mbivu.Anyway ngoja tusubiri kama kweli CDM itaimarika.Muda ndio Hakimu.
Rejea maandiko kuwa hata wana wa Israel waliimarika baada ya kupitia nyakati ngumu na kuvumilia magumu utumwani Misri!
Na kwenye falsafa ya dhahabu, haiwezi kung'aa kama haikupitishwa kwenye tanuru la moto mkali! Upo?
 
Kwa nini DJ Alikuwa Rais Madagascar Atashindwa vipi mmiliki wa Casino?? Na Mmiliki wa macasno Trump kawa Rais Atashindwa vipi Mbowe?? Lete sababu zingine.
Suala siyo DJ kuwa Rais ni kuweza urais. Rajoelina aliuweza urais wa Madagascar?
 
Rejea maandiko kuwa hata wana wa Israel waliimarika baada ya kupitia nyakati ngumu na kuvumilia magumu utumwani Misri!
Na kwenye falsafa ya dhahabu, haiwezi kung'aa kama haikupitishwa kwenye tanuru la moto mkali! Upo?
Sawa,nimesema muda ndio Hakimu.
 
Wananchi wa Hai tupo imara hatuyumbishwi na huu utaratibu wa ccm kununua viongozi wetu. Tukutane 2020 badamu batamwagikaaa...
Hivi mtu unafurahi vipi hela yako ya maendeleo kichaa akiichukua na kuwapa watu ili waseme wanamuunga mkono? Hii ndio kusudi ya wewe kulipa kodi ili yeye atumie kwa manufaa yake binafsi na kakikundi kake?
 
Ukiwa dalali, DJ, Casino operator, Changudoa, na kazi za aina hiyo, sitegemei uongoze nchi. Mwacheni aongoze chama ambacho kwa sasa mzizi wake mkuu ni ukabila. FINITO!

Hakuna haja ya kuficha mambo wakati anatuondolea haki ya kupata chama chenye uimara na kusukuma demokrasia.
Ungependa democrasia, usinge muunga mkono huyu kichaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom