mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,821
- 106,001
Duh teh tehNakutumia namba ya kamanda Cos wa Ufipa. Code matata sana hiyo.
Ova
Duh teh tehNakutumia namba ya kamanda Cos wa Ufipa. Code matata sana hiyo.
Hivi wananchi wa kawaida mbona hawanunuliki?
Maana asilimia kubwa bado wana misimamo yao ileile na bado hawaoni hayo maendeleo yanayosemwa.
Mtasubiri sana na hajiuzuru visa vyote mmeshindwa, kumununua mmeshindwa ndio maana kichaa wenu aliposhindwa mbinu zote alisema "nitakata mti ili ndege wote wapoteane" mi nasema hata ikitokea kafanikiwa kuukata, hawezi kuumaliza upinzani.hivi kwa nini mbowe asitumie busara kujiuzulu... chama kinaangamia na kuteketea yeye anakula bata...
Kati ya Mboe na huyu Kichaa nani kiongozi bora. Kichaa hana ubavu kuweza kuongoza chama kisicho na dola. Kinacho mwezesha ni dola tu bila dola, nikichaa kweli.Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.
Upinzani kuna mijitu ya hovyo sana! Inakuwaje inajiuza kirahisi namna hiiGulio la ccm toka mashamba ya upinzani linaendelea kama kawaida
Ongea kwanza na chadema mkuu waulize wanajiuza bei gani kisha unaenda kutafuta soko.Mm nalima mbogamboga kivule hku dar....
Mm nataka mchongo huo huo wa kuwa buy Wanasiasa Nile %
Ova
Kiwanda kiko llumbaOngea kwanza na chadema mkuu waulize wanajiuza bei gani kisha unaenda kutafuta soko.
Labda wameona mkono mtupu so wameona wakauunge Wenye zaidi 1.2tri njaa mbaya sana.ina maana mbowe hana la kuungwa mkono.. ina maana mbowe amefeli..???
Ok.. Sasa umeshajua wanajiuza bei gani hasa..Kiwanda kiko llumba
Ova
Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti miaka 20 tenaHata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.