Jimboni kwa Mbowe kwafuka moshi: Wenyeviti wa Serikali za vijiji 19(CHADEMA) wajiuzulu na kujiunga CCM

CHADEMA Ilishakufa siku wamemruhusu Mbowe kubadili gia angani, mengine yote ni matokeo tu ambayo wengine tuliyatarajia. Pamoja na kupanda na kuwa juu, tulishajua itakuwa kama NCCR na CUF tu
 
Hii inatusaidia nini sisi kama Taifa? Hii biashara ina manufaa gani kwa Taifa? Mimi nilifikiri unatuambia kuna viwanda 100 vimefunguliwa Hai ili kuajiri watoto wetu wanaomaliza vyuo vikuu bila kupata ajira. Taarifa hizi z a anasa za kisiasa hazina faida hata kwa sisi wasomaji tu.
 
Siku hizi biashara inayolipa ndio hii. Nitajieni biashara nyingine inayolipa kuliko hii ya akina Polex2 na Bashiri wake. Biashara nyingine zote hazilipi katika awamu hii. Na Polex2 ameshatwambia kwamba fedha ya kununua watu ipo ya kutosha.
 
"Nikuteue mimi, nikulipe mshahara, nikupenyumba halafu unamtangaza mpinzani kashinda! Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, hapo hesabu umeshindwa kazi" Kwa hiyo mwanasiasa uchwara akishaona kwamba hakuna namna yoyote ya kushinda uchaguzi kwa chama chake ataenda tu upande unaompa uhakika wa kushinda. Sasa hivi wanasiasa wote wa upinzani hawana namna yoyote ya kushinda kwani hata wakishinda hawatangazwi kuwa washindi. Awamu hii suala siyo ushindi wa kura bali kutangazwa kuwa mshindi ni ngumu sana! Hakuna yeyote aliye tayari kumtangaza mpinzani kuwa mshindi. Ndugu Amosi Makala amekuwa 'demoted' kwa kata moja tu kwenda upinzani. Alijaribu kuomba radhi bila mafanikio. kwa sasa yupo kamkoa ka katavi huko.
 
hivi kwa nini mbowe asitumie busara kujiuzulu... chama kinaangamia na kuteketea yeye anakula bata...
Mtasubiri sana na hajiuzuru visa vyote mmeshindwa, kumununua mmeshindwa ndio maana kichaa wenu aliposhindwa mbinu zote alisema "nitakata mti ili ndege wote wapoteane" mi nasema hata ikitokea kafanikiwa kuukata, hawezi kuumaliza upinzani.
 
Uzuri Tanzania tunaweza kuishi hata bila kiongozi yeyote.Tunapoteza fedha bure tu kuchagua maviongozi mengi yasiyo na faida bali yanatanguliza maslahi binafsi tu. Napendekeza jeshi lichukue nchi kama Zimbabwe. kura imeshindwa kutuletea kiongozi mzuri aliyepo kwa ajili yetu.
 
Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.
Kati ya Mboe na huyu Kichaa nani kiongozi bora. Kichaa hana ubavu kuweza kuongoza chama kisicho na dola. Kinacho mwezesha ni dola tu bila dola, nikichaa kweli.
 
Mm nalima mbogamboga kivule hku dar....
Mm nataka mchongo huo huo wa kuwa buy Wanasiasa Nile %

Ova
Ongea kwanza na chadema mkuu waulize wanajiuza bei gani kisha unaenda kutafuta soko.
 
Kama ni mchezo wa ngumi tunasema bingwa mtetezi (CCM) anampiga mpinzani wake(CDM) chini ya mkanda...
 
ina maana mbowe hana la kuungwa mkono.. ina maana mbowe amefeli..???
Labda wameona mkono mtupu so wameona wakauunge Wenye zaidi 1.2tri njaa mbaya sana.
Hua najiuliza hivi Pombe akitoka madarakani je watahamia vyama vingine? Watu ni wapumbavu kupindukia,

Kuna diwani mmoja wapo alihamia fisiem kwa ahadi ya 25m wakampa kishika uchumba 5m, 20 wakasema tutakuingizia kwenye account, kweli wakamwingizia akatukana CHADEMA then wakazirudisha zile pesa alipowauliza wakasema tumekosea utaratibu ila tutakurejeshea ucjari, hadi leo hii kimya, hawezi anatamani arudi CHADEMA hawezi tena, kuongea hawezi maana itadhihirika kua kweli alinunuliwa na akauzika, amebaki na hasira tu.

Hii biashara kila anayenunuliwa anabaki na maumivu yake ila majibu ya ujumla tutayapata tu mda haudanganyi.

Source nimeipata kutoka ndani ya wanachama wa fisiem hapa Tunduma.
 
Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.
Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti miaka 20 tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom