Jimboni kwa Mbowe kwafuka moshi: Wenyeviti wa Serikali za vijiji 19(CHADEMA) wajiuzulu na kujiunga CCM

Hakuna aliyeondoka kwa madai kuwa hamtaki Mbowe ila wanasema wanakwenda kumuunga mkono Magufuli
Tumia akili asilimia 0.00001 mkuu. Mke/Mume wako akiindoka nyumbani na kuhamia kwa hawara huwa hawaendi kuunga mkono, bali wameondoka sababu ya kutofurahishwa na mienendo ya nyumbani kwako.
 
Na mimi nilipokuelekeza ukamuone Mbowe nilimaanisha juu ya biashara ya kuuza na kununua Wanasiasa mkuu. Yeye anaijua vizuri na kinara.
Mchongo huo uko lumumba mzee jinsi ya kuupata Sasa

Ova
 
Mchongo huo uko lumumba mzee jinsi ya kuupata Sasa

Ova
Hata Ufipa upo mkuu. Nenda pale Makao makuu kwenye ile Bar ya pembeni inayoangaliana na kituo cha Polisi, kamuulizie jamaa anaitwa Cosmas atakupa michongo yote kamanda.
 
Wacha waende tu kwani kila mwenye akili timamu anajua siasa za hila ,ghilba na ulaghai zinazofanywa na CCM kuihadaa dunia kuwa inapendwa. Haiingi aklini kwa kiongozi ambaye amejipambanua kuwa anabana matumizi ya fedha za umma leo hii akubali kuungwa mkono kwa njia ya kuliingiza taifa hasara ya kununua wapinzani uchwara kisha kuliingiza taifa hasara ya kurudia chaguzi.
 
Hata Ufipa upo mkuu. Nenda pale Makao makuu kwenye ile Bar ya pembeni inayoangaliana na kituo cha Polisi, kamuulizie jamaa anaitwa Cosmas atakupa michongo yote kamanda.
Ile kinondoni ishakufa mzee baba
Nipe connection ya lumumba

Ova
 
Mimi ninakupa huo mchongo ninaoufahamu mkuu. Sasa kama unataka huo wa Lumumba si uende pale ukapate taratibu za huo mchongo.
Mkuu unanibania code
Poa yote maisha kamanda nkipata mimi umepata wee

Ova
 
Tumia akili asilimia 0.00001 mkuu. Mke/Mume wako akiindoka nyumbani na kuhamia kwa hawara huwa hawaendi kuunga mkono, bali wameondoka sababu ya kutofurahishwa na mienendo ya nyumbani kwako.
Siyo kweli anaweza kuondoka kwa tamaa zake tu na ujinga wake ndio maana nakwambia hao wanaoondoka wenyewe wanasema wanaondoka kwasababu wanaridhishwa na kazi za John na hawasemi kwakuwa Mbowe kawakera ana wanatatizo naye sasa wewe usiwalazimishe kuona Mbowe ndiyo tatizo. Sasa wewe mkeo akiondoka nyumbani na wewe unajiuzulu kuwa baba mwenye nyumba?!
 
C067AC27-B2AE-42BC-A5A0-3F072D8AEE33.gif
 
Wanasiasa watu hataree sana. Wanaiharibu hii nchi. Nafikiri kuna mahali tumemkosea Mungu wetu japo tunendelea kusali. Hz gharama za uchaguzi tubgefanyia maendeleo hata kuongeza salary za wachapakazi wa nchi hii. Inaumiza sana kusoma hz habari. Hakuna namna.
 
Msishangae hata 2015 hata upande wa pili nao walivuna,sasa hivi fisiem wanakomba sio kuvuna tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom