G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,334
- 5,183
sijawahi ku support huu ujinga wa kuhama hama hata siku moja, ningekuwa na uwezo wa kuzuia hii hama hama kwa hasara hizi za chaguzi mngenikoma.
Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba. 06, 2018.
Mkuu biashara zangu zote hazisogei maana mm kama kiraka!Karibu Hai tulime Chainizi mkuu.
Aibuu kwa machadema.Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba. 06, 2018.
Ongea na Mbowe mkuu. Mbona aliianza kitambo sana hii biznee! Nina hakika ana uzoefu katika hiyo sekta.Mkuu biashara zangu zote hazisogei maana mm kama kiraka!
Naona hii ya ununuaji wat inalipa nipate mchongo wa udalali tu
Ova
Mm nalima mbogamboga kivule hku dar....Ongea na Mbowe mkuu. Mbona aliianza kitambo sana hii biznee! Nina hakika ana uzoefu katika hiyo sekta.
Hacha uzwazwa kwani Mbowe anaongoza Hai peke yake?Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.
Yaani ni zaidi ya kichaa cha aliyejitangaza kuwa ni kichaaUpuuzi mtupu
Hakuna aliyeondoka kwa madai kuwa hamtaki Mbowe ila wanasema wanakwenda kumuunga mkono Magufulihivi kwa nini mbowe asitumie busara kujiuzulu... chama kinaangamia na kuteketea yeye anakula bata...
ina maana mbowe hana la kuungwa mkono.. ina maana mbowe amefeli..???Hakuna aliyeondoka kwa madai kuwa hamtaki Mbowe ila wanasema wanakwenda kumuunga mkono Magufuli
Na mimi nilipokuelekeza ukamuone Mbowe nilimaanisha juu ya biashara ya kuuza na kununua Wanasiasa mkuu. Yeye anaijua vizuri na kinara.Mm nalima mbogamboga kivule hku dar....
Mm nataka mchongo huo huo wa kuwa buy Wanasiasa Nile %
Ova
Endelea kumsifu lakini msimamo wangu ni kwamba sijawahi sikia dunia nzima muendesha Casino akageuka kuwa mtu wa maana na baadaye apewe kuongoza nchi. Where on earth?Hacha uzwazwa kwani Mbowe anaongoza Hai peke yake?