Jimboni kwa Mbowe kwafuka moshi: Wenyeviti wa Serikali za vijiji 19(CHADEMA) wajiuzulu na kujiunga CCM

sijawahi ku support huu ujinga wa kuhama hama hata siku moja, ningekuwa na uwezo wa kuzuia hii hama hama kwa hasara hizi za chaguzi mngenikoma.
 
Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba. 06, 2018.

Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.
 
Wenyeviti wa Vijiji 19 Kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Wameamua Kujiuzuru na Kujiunga na Chama cha Mapinduzi baada ya kuridhishwa na kazi nzuri ya serikali ya Rais Magufuli.

Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri Hai Wamethibitisha.

#NyumbaniKumenoga
IMG-20180906-WA0091.jpg
 
Mkuu biashara zangu zote hazisogei maana mm kama kiraka!
Naona hii ya ununuaji wat inalipa nipate mchongo wa udalali tu

Ova
Ongea na Mbowe mkuu. Mbona aliianza kitambo sana hii biznee! Nina hakika ana uzoefu katika hiyo sekta.
 
Chama changu chenye dola naona bado mmekumbatia sera ya kuvuna upinzani, mbaya zaidi ni kwamba wananchi wanaamini mavuno haya yanaambatana na malipo. Sasa wenye chama changu kama nia ni kupata watenda kazi wazuri, mbona mnahangaika kuvuna wanyampara badala ya kuvuna watenda kazi? Mnyampara kazi yake ni kusimamia watenda kazi, bila uwepo wa watenda kazi mnyampara hana maana...tumekomaa tu na kununua wanyampara tukusahau kununua watenda kazi.

Tununue wananchi wapia kura, sio kununua viongozi waliowekwa na wapiga kura. Leo hii tuna nguvu ya dola kufanya haya...hivi wapiga kura wakiamua ktk chaguzi zijazo hamna kuchagua wanyampara wenu au wasipige kura, je nguvu ya dola itatosha kuwalazimisha wapiga kura nchi nzima?
 
Ongea na Mbowe mkuu. Mbona aliianza kitambo sana hii biznee! Nina hakika ana uzoefu katika hiyo sekta.
Mm nalima mbogamboga kivule hku dar....
Mm nataka mchongo huo huo wa kuwa buy Wanasiasa Nile %

Ova
 
Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.
Hacha uzwazwa kwani Mbowe anaongoza Hai peke yake?
 
hivi kwa nini mbowe asitumie busara kujiuzulu... chama kinaangamia na kuteketea yeye anakula bata...
 
Mm nalima mbogamboga kivule hku dar....
Mm nataka mchongo huo huo wa kuwa buy Wanasiasa Nile %

Ova
Na mimi nilipokuelekeza ukamuone Mbowe nilimaanisha juu ya biashara ya kuuza na kununua Wanasiasa mkuu. Yeye anaijua vizuri na kinara.
 
Hacha uzwazwa kwani Mbowe anaongoza Hai peke yake?
Endelea kumsifu lakini msimamo wangu ni kwamba sijawahi sikia dunia nzima muendesha Casino akageuka kuwa mtu wa maana na baadaye apewe kuongoza nchi. Where on earth?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom