Jimboni kwa Mbowe kwafuka moshi: Wenyeviti wa Serikali za vijiji 19(CHADEMA) wajiuzulu na kujiunga CCM

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba. 06, 2018.

DmZcpR6XcAAbYrf.jpg
 
Tobaa Yarabiiiiii!
imhotep umeiona hii kitu mkuu!? Mafuriko yameingia Sebleni kuelekea master bedroom kwa Mwenyekiti.
 
Wenyeviti wa Vijiji 19 kupitia CHADEMA wilayani Hai wamejiuzulu nyadhifa zao na kujiunga na CCM.

IMG_7840.jpg

IMG_7839.jpg

Naona mambo ni hivi 🔥🔥🔥
 
Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba. 06, 2018.

Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom