Jimboni kwa Mbowe kwafuka moshi: Wenyeviti wa Serikali za vijiji 19(CHADEMA) wajiuzulu na kujiunga CCM

Leo kwangu kesho kwako furahi leo kesho mimi. Wanachofudahia ndicho kitakachowasikitisha kesho
 
Heee! Sasa hii hatari...:eek:. Yawezekana wote hawa wamenunuliwa ? Kweli ? Uongozi wa chama ujitafakari na kuchukua hatua kabla mambo hayaja haribika kabisa !
Nilidhani wamehama Jimbo. Kumbe wapo hapohapo ?? Sioni shida ya wao kuondoa bendera ya chadema na kuweka bendera ya CCM. Ambayo hata hivyo bendera ya CCM ilikuwepo ikaondolewa ikawekwa ya chadema. Sasa kuondoa ya chadema na kuweka ya CCM ni kitu kilekile,. Yamkini kesho ikaondolewa pia ya CCM na kuwekwa ya chadema.

Angalizo,
Nina Shaka Kama Hawa watu wanahama pamoja na fikra na mioyo yao. Wanaweza wakawa mchana CCM usiku wapo chadema. Ili Mambo yao yakae sawa.
Kama hili ni kweli basi patatokea mvurugano mkubwa ndani ya CCM. Muda ni hakimu mzuri.
Sina Imani Kama Yale yalio waondoa CCM na kujiunga chadema Sasa eti yamekwisha. Hapana. Ipo nguvu nyuma yao inayowarudisha CCM kwa maana Kila mtanzania kwa asili ni CCM. Ila kwa utashi wake aliondoka CCM na wengine wakabaki
Factors zilizowaondoa CCM jee zimetatuliwa ???
Au wanafanya hivyo Leo kuwafurahisha watu fulanifulani lakini kesho watu hao wasipokuwepo kitatokea Nini. ?????
 
Mkuu biashara zangu zote hazisogei maana mm kama kiraka!
Naona hii ya ununuaji wat inalipa nipate mchongo wa udalali tu

Ova
Unafkkiri kazi ya mkuu wa wilaya na mkurugenzi ni Nini ? Hukusikia maagizo
 
Walioleta hilo wazo la kuhujumu cdm sehemu inazokubalika wakidhani wataiua cdm ni watu wenye mbinu za kizee. Kwa bahati mbaya kinachoendelea kwa sasa kuendana na hili gulio lililopewa jina la kuunga mkono juhudi za rais zimefanya wale wanaoiunga mkono cdm kupotezea siasa. Cdm haifi wala nini na kwakuwa wengi wa wanaoishabikia cdm ni waelewa wa mambo hawawezi kwenda pengine bali hawatopiga kura na watashusha ari ya kupiga kura.

Jiwe atakapomaliza muda wake kwani ndio asiyejua wala kuweza siasa za ushindani, cdm itaendelea kama kawaida. Kwa sasa tegemeeni idadi ndogo sana ya wapiga kura ambao hawatasifia chochote kinachofanywa kwa kusaka political millage. Ccm hata ifanye nini haiwezi kupata uungwaji mkono tena kwa walio wengi kwa ushawishi zaidi ya mabavu na vitisho. Watu wameshatoka kwenye kupenda chama kizee hata nini ifanyike.
We mtu taratibu na mdomo...
 
Sasa hivi CDM wamekaakaa tu kumalizia hii ruzuku ilyobaki kuelekea 2020. Baada ya hapo kila mtu na vyake.

Kama zamani watu walilalamika hawaioni ruzuku basi sasa hata kuisikia hawataisikia. Watu wanalimbikiza mitaji ya kujikimu baada ya 2020.

Naamini CDM itafufuka na kurudi tena ulingoni. Hela za siasa ni tamu mno kuziachia ziende tu. Lakini sijui watatumia mizungu gani safari hii.

Rais Magufuli alindwe maradufu sasa. Huwezi kuwanyang'anya watu matonge mdomoni na wakakuacha salama.
CCM imepauka mmeanzisha CCV (Chama Cha Vichaa).
 
Pesa walizokwenda kuwahadaa hawa wenye viti ni nyingi sana na hakuna wa kuzikataa. hebu jiulize inakuwaje wenye viti wengi hivi na kwa wakati mmoja wakubaliane kuondoka CDM kwa wakati mmoja kuna nini? ccm mbinu hizi za fedha zitawatokea puani. msijione washindi na hamuwezi kuwahonga wan CDM wote.
 
Ife mapema, nchi iendelee chini ya chama kimoja kama kabla ya vyama vingi. Maana hapana zile zinarudisha nyuma maendeleo mijini na majimboni
 
Kichaa akitaka hii nchi imwage damu kwa mara ya kwanza hapa Moshi ni 2020 majibu atayapata.
Wanawachukua watu wanawalawiti huku wana rekodi kisha wana wablackmail ili wajiunge huko ushenzini. Masikini lichama linajaa mashoga tu.
 
Ife mapema, nchi iendelee chini ya chama kimoja kama kabla ya vyama vingi. Maana hapana zile zinarudisha nyuma maendeleo mijini na majimboni
Nakushauri wakiitwa watu wenye akili timamu usiende kwani utakwenda kutia aibu! unajua maana ya upinzani na faida zake duniani au? lkn kwa akili hizo za kuku kamwe huwezi kujua. ngoja nikuache tu kwani unatia huruma na hukutakiwa kuishi karne hii ya 21, ulitakiwa mwisho wako wa kuishi uwe karne ya 16.
 
Nakushauri wakiitwa watu wenye akili timamu usiende kwani utakwenda kutia aibu! unajua maana ya upinzani na faida zake duniani au? lkn kwa akili hizo za kuku kamwe huwezi kujua. ngoja nikuache tu kwani unatia huruma na hukutakiwa kuishi karne hii ya 21, ulitakiwa mwisho wako wa kuishi uwe karne ya 16.
usipaniki Bro siko sirias.
Ila inaonekana kwa Wanasisiemu, Uimara wa wapinzani ni chanzo cha umasikini. Kama ndivyo basi wasiwepo tuone watatufikisha wapi, kama walivyotufikisha kabla ya Upinzani kuwepo.
 
Chadema na utetezi wao huwa siachi kukumbuka visa katika mojawapo ya vita vya Ghuba ya Uajemi.....
Kulikuwa na kiongozi akiitwa AL-SAHAF huyu alikuwa mara zote akitangaza jinsi Majeshi ya IRAQ yalivyoyabana majeshi ya Muungano yakiongozwa na Merekani.
Ni furaha iliyoje kupata msimuliaji mzuri na mwenye mvuto kama AL-SAHAF, mara zote akielezea kuwa sasa wamewazingira wamarekani, wamewachinja, wamedondosha ndege zao, wameteka shehena kubwa ya silaha na mwisho kabisa wamewaandali Kaburi na wamewachorea MSTARI MWEKUNDU....
Aha ha ha haaaa.... Merekani na washirika wake wao wakiwa kimya tena bila kujibu hoja na kutoa fafanuzi chache zisizovutia masikioni.
UTOFAUTI ULIKUWA KWENYE UWANJA WA MAPAMBANO (FIELD)
Jinsi majeshi ya Iraq yalivyokuwa yakichakazwa huko field na yakikosa matumaini na namna yalivyokuwa yakisalimu amri na kupeperusha bendera nyeupe kila yakizingirwa (NAKUMBUKA) taarifa zilikuwa zikienezwa kuwa hao "wamenunuliwa" ili kudanganya dunia kuwa Majeshi ya muungano yanashinda huku hali ni tofauti.
UPINZANI TANZANIA
Kama ilivyokuwa vita vya IRAQ, wapinzani wa ccm wanaeneza kuwa kuna MANUNUZI ha watu huku kila siku makundi kwa makundi yakiunga mkono juhudi za Rais katika kuirudisha Tanzania kwenye mstari wao wakikazana na kuonyesha kuwa sio kweli....

"WATAPATA TABU SANA"
Badala ya kukaa kama kamati na kuunda kikosi kazi cha kubaini mapungufu na kuyarekebisha wao wanapambana na KIVULI ......
 
Mbali na kununuliwa kutakua na sababu ndani ya chama zinazowapelekea wao kukihama chama chao, haiwezekani kila siku iwe CHADEMA tu kwani hakuna vyama vingine vya upinzani? Halafu badala ya watu kijiuliza ni nini hasa chimbuko la haya yote! mnakuja na majibu rahisi tu eti wananunuliwa! mbona hatujawahi kusikia au kuona ushahidi wa kiongozi wa upinzani aliyetaka kununuliwa akagoma!? Viongozi wa juu wa CHADEMA mnapaswa kujitathimini na sio kutoa majibu rahisi kwa mambo makubwa kama haya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom