Jimboni kwa Mbowe kwafuka moshi: Wenyeviti wa Serikali za vijiji 19(CHADEMA) wajiuzulu na kujiunga CCM

Sijui kwanini Mbowe bado tu anangangania hiyo nafasi, inapaswa kujiuzulu, maana inaonesha wazi kabisa kuwa ameshindwa kusimamia misingi ya awali ya chama hivyo kukifanya chama kukosa dira na wanachama kutoona umuhimu wa kuendelea na chama.
 
Pamoja nahayo, Mh.Mbowe asikubali kuachia uwenyekiti wa chama. komaa tu hata kama wote wataondoka
 
Wafanye haraka kuwalipa kwani muda sio mrefu biashara hii itakwisha na tutaanza kuwalipa wale wa kimatifa akina Acacia, standard bank HK na wengineo.
 
Tumia akili asilimia 0.00001 mkuu. Mke/Mume wako akiindoka nyumbani na kuhamia kwa hawara huwa hawaendi kuunga mkono, bali wameondoka sababu ya kutofurahishwa na mienendo ya nyumbani kwako.
Sasa mwanamke akikuacha si unaoa mwingine? Waache waende tutachagua mwingine
 
Wenyeviti wa Vijiji 19 kupitia CHADEMA wilayani Hai wamejiuzulu nyadhifa zao na kujiunga na CCM.

View attachment 858923

View attachment 858919

Naona mambo ni hivi 🔥🔥🔥

Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hai wamethibitisha.. Kweli upinzani uko katika wakati mgumu sana.. Ila watawala wakumbuke, 2020 itakuwa zaidi ya 2015, japo inawezekana mwisho wa siku wakajitangaza wao ndo washindi..
 
hivi hapo anayeingia hasara ni mbowe/chadema iliyokimbiwa na wenyeviti au ni serikali ambayo itaandaa uchaguzi upya
 
Si ndio furaha yenu? Ila nikuhakikishie Hutakufa kabla hujaiacha CCM ikiwa ni chama cha upinzani
ukiona mpaka ngome kuu ya chadema inabomolewa (MOSHI,ARUSHA) ujue hali ni mbaya sana, kila kitu kina mwanzo na mwisho, chadema ndio imefika mwisho wake mzee...
 
ukiona mpaka ngome kuu ya chadema inabomolewa (MOSHI,ARUSHA) ujue hali ni mbaya sana, kila kitu kina mwanzo na mwisho, chadema ndio imefika mwisho wake mzee...
Kumbe unakiri inabomolewa ee? Inabomolewa na Nani? Kuna tofauti kubwa Kati ya kubomolewa na kubomoka. Kama inabomolewa basi walioijenga wataijenga tena. Mbaya ingekuwa inabomoka yenyewe! Asante kwa kujua kuwa CCM mnanunua wapinzani
 
Kumbe unakiri inabomolewa ee? Inabomolewa na Nani? Kuna tofauti kubwa Kati ya kubomolewa na kubomoka. Kama inabomolewa basi walioijenga wataijenga tena. Mbaya ingekuwa inabomoka yenyewe! Asante kwa kujua kuwa CCM mnanunua wapinzani
chadema inabomolewa na ubora, ufanisi wa kazi njema, bora, na mahususi za serikali ya awamu ya tano.. mwaka 2020 mbowe anarudi mtaani mzeee nakushauri mpokee kwa mikono miwili...
 
Endelea kumsifu lakini msimamo wangu ni kwamba sijawahi sikia dunia nzima muendesha Casino akageuka kuwa mtu wa maana na baadaye apewe kuongoza nchi. Where on earth?
Mbowe ana miliki casino sawa na trump anavyomiliki casino.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom