Jimboni kwa Mbowe kwafuka moshi: Wenyeviti wa Serikali za vijiji 19(CHADEMA) wajiuzulu na kujiunga CCM

Zygot

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Messages
1,038
Points
2,000

Zygot

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2016
1,038 2,000
Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba. 06, 2018.

Hata tuzungumze sababu zipi, au bei gani, tukubali kwamba Mbowe ana tatizo! Bila kujua hata sababu ni ipi, hafai kuongoza chama chenye lengo zuri kitaifa.
 

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
19,738
Points
2,000

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
19,738 2,000
Wenyeviti wa serikali za Vijiji 19 katika Halmashauri ya wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, wamejiuzuru nyadhifa zao na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM, leo Septemba. 06, 2018.

Aibuu kwa machadema.
 

MASIGA

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
129
Points
500

MASIGA

Senior Member
Joined Aug 29, 2015
129 500
Wenyeviti wa Vijiji 19 Kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Wameamua Kujiuzuru na Kujiunga na Chama cha Mapinduzi baada ya kuridhishwa na kazi nzuri ya serikali ya Rais Magufuli.

Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Halmashauri Hai Wamethibitisha.

#NyumbaniKumenoga
IMG-20180906-WA0091.jpg
 

soine

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
1,488
Points
2,000

soine

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
1,488 2,000
Chama changu chenye dola naona bado mmekumbatia sera ya kuvuna upinzani, mbaya zaidi ni kwamba wananchi wanaamini mavuno haya yanaambatana na malipo. Sasa wenye chama changu kama nia ni kupata watenda kazi wazuri, mbona mnahangaika kuvuna wanyampara badala ya kuvuna watenda kazi? Mnyampara kazi yake ni kusimamia watenda kazi, bila uwepo wa watenda kazi mnyampara hana maana...tumekomaa tu na kununua wanyampara tukusahau kununua watenda kazi.

Tununue wananchi wapia kura, sio kununua viongozi waliowekwa na wapiga kura. Leo hii tuna nguvu ya dola kufanya haya...hivi wapiga kura wakiamua ktk chaguzi zijazo hamna kuchagua wanyampara wenu au wasipige kura, je nguvu ya dola itatosha kuwalazimisha wapiga kura nchi nzima?
 

Forum statistics

Threads 1,365,091
Members 521,109
Posts 33,336,755
Top