Mhe Mbowe, mbali na uenyekiti wa CHADEMA taifa ila wewe ni mbunge wa Hai, jitihada zako kubwa za kukitumikia chama chako kila mtanzania ana ziona, ila hoja ya msingi ni kwamba, umesahau kuwa wewe ni mbunge?
Mhe Mbowe wananchi wa Hai wana taabika mno chini ya uongozi wako kama mbunge wao, kama mambo yamekushinda ni busara ukae pembeni kuliko kuendelea kung'ang'ania nafasi usiyo iweza.
Tangu umerudi tena bungeni mwaka 2010 ni mara chache mno umekuwa ukihimiza serikali kukumbuka jimbo lako katika mgao wa bajeti, mara nyingi wewe umekuwa ukihimiza wabunge wako waombe miongozo isiyo na tija ili ukitangaze chama chako cha CHADEMA kupitia bunge.
Mhe Mbowe angalau basi uwe una taja taja hata jimbo lako la Hai, wananchi wana kero nyingi sana ambazo wewe kama mbunge ni jukumu lako kuhakikisha zina tatuliwa na serikali, usipo wasemea wewe atawasemea nani?
Wana-JF, jioneeni wenyewe jinsi wananchi wa jimbo la Hai wanavyo pata hadha chini ya uongozi wa bwana Mbowe!