MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,256
- 2,975
Umeeleweka vyema zaidi ya mleta madaTexas sio Mkoa, ni Jimbo la Pili kwa Ukubwa Marekani kwa Ukubwa wa Eneo na Wingi wa Watu.
Texas ndilo jimbo lenye kuzalisha umeme mwingi Marekani
Sababu ya Umeme kukatwa ni kutokana na hali ya hewa kuwa ya ubaridi mno kiasi cha kuathiri mifumo ya usafirishaji kwani baridi ni -22 C
Pia barafu imetanda kila mahali.
Texas ni Robo 3 ya Tanzania kwa eneo maana ina 695000km za mraba wakati Tanzania ni 98000km + za mraba
Ina watu 29mil ambayo asilimia 50 ya Tanzania.
Kipato kwa kila mtu ni zaidi ya Milioni 140.
Kuita Texas mkoa ni kosa kubwa mno.