Jimbo la Singida Mashariki

Ngamanya Kitangalala

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
501
1,214
Moja ya changamoto kubwa katika mkoa wa Singida, hususani jimbo la Singida mashariki ni maji

Moja ya changamoto katika awamu ya tano ni kiherehere cha mh Tundu Lissu, kukomalia mambo yasio na tija

Kwa mtu mwenye kufikiri, utaelewa ni kwa nini Prof Kitila Mkumbo ameteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliahi

Nadhani sasa ni wakati wa mh Lissu kuwatumikia wananchi wa jimbo lake
Na kuacha kupoteza muda mwingi mahakamani

Lissu na Mkumbo waligombea jimbo moja 2010 na 2015
 
Kwani kazi ya kupeleka huduma majimboni ni ya mbunge? Mbunge anawakilisha kero bungeni serikali ndio ina kazi ya kuzitatua, kama mnafikiri kummaliza lisu ni kuingia jimboni kwake endeleeni kufanya hivyo viwanda vitaendelea kubaki kwenye majukwaa kama kibwagizo cha hotuba.
 
Moja ya changamoto kubwa katika mkoa wa Singida, hususani jimbo la Singida mashariki ni maji

Moja ya changamoto katika awamu ya tano ni kiherehere cha mh Tundu Lissu, kukomalia mambo yasio na tija

Kwa mtu mwenye kufikiri, utaelewa ni kwa nini Prof Kitila Mkumbo ameteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliahi

Nadhani sasa ni wakati wa mh Lissu kuwatumikia wananchi wa jimbo lake
Na kuacha kupoteza muda mwingi mahakamani

Lissu na Mkumbo waligombea jimbo moja 2010 na 2015

Sio Singida Mashariki tu mpaka Msoga kwa Ridhiwani,unakumbuka ni nini Magufuli alimjibu Ridhiwani kipindi cha kampeni?
 
Moja ya changamoto kubwa katika mkoa wa Singida, hususani jimbo la Singida mashariki ni maji

Moja ya changamoto katika awamu ya tano ni kiherehere cha mh Tundu Lissu, kukomalia mambo yasio na tija

Kwa mtu mwenye kufikiri, utaelewa ni kwa nini Prof Kitila Mkumbo ameteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliahi

Nadhani sasa ni wakati wa mh Lissu kuwatumikia wananchi wa jimbo lake
Na kuacha kupoteza muda mwingi mahakamani

Lissu na Mkumbo waligombea jimbo moja 2010 na 2015
Acha urongo kijana,Kitila Mkumbo anatoka Shelui jimbo la Iramba Magharibi kwa Mwigulu Nchemba, kabla ya kufukuzwa CDM alikuwa anajiandaa kupambana na Nchemba
 
Lisu na Mkumbo waligombea Jimbo moja!

Una uhakika?
Ndiyo ujue ujinga wa kina Bashite,Kitila mkumbo ni mnyiramba sherui kwa mwigulu Nchema,na Lissu ni Mnyaturu wa Ikungi,Sherui navIkungi wapi na wapi!
 
Moja ya changamoto kubwa katika mkoa wa Singida, hususani jimbo la Singida mashariki ni maji

Moja ya changamoto katika awamu ya tano ni kiherehere cha mh Tundu Lissu, kukomalia mambo yasio na tija

Kwa mtu mwenye kufikiri, utaelewa ni kwa nini Prof Kitila Mkumbo ameteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliahi

Nadhani sasa ni wakati wa mh Lissu kuwatumikia wananchi wa jimbo lake
Na kuacha kupoteza muda mwingi mahakamani

Lissu na Mkumbo waligombea jimbo moja 2010 na 2015
Kukurupukia mambo hujui lolote Kitila na Lissu waligombea jimbo moja wapi?.ndio maana umezalishwa watoto 5 kila mmoja na baba yake
 
ndio tatizo kujiona una uwezo wa kujua kila kitu!
sasa lini kitila aligombea jimbo la lissu
 
acha kukurupuka ww unajifanya unajua kumbe pimbi tu, chunguza kwanza upate cha kuleta JF huku usifikiri kuna waliopata ziro nyaubaaaaaaa
 
Moja ya changamoto kubwa katika mkoa wa Singida, hususani jimbo la Singida mashariki ni maji

Moja ya changamoto katika awamu ya tano ni kiherehere cha mh Tundu Lissu, kukomalia mambo yasio na tija

Kwa mtu mwenye kufikiri, utaelewa ni kwa nini Prof Kitila Mkumbo ameteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliahi

Nadhani sasa ni wakati wa mh Lissu kuwatumikia wananchi wa jimbo lake
Na kuacha kupoteza muda mwingi mahakamani

Lissu na Mkumbo waligombea jimbo moja 2010 na 2015
Labda kama anaandaliwa kwenda kumng'oa Mwigulu 2020
Moja ya changamoto kubwa katika mkoa wa Singida, hususani jimbo la Singida mashariki ni maji

Moja ya changamoto katika awamu ya tano ni kiherehere cha mh Tundu Lissu, kukomalia mambo yasio na tija

Kwa mtu mwenye kufikiri, utaelewa ni kwa nini Prof Kitila Mkumbo ameteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliahi

Nadhani sasa ni wakati wa mh Lissu kuwatumikia wananchi wa jimbo lake
Na kuacha kupoteza muda mwingi mahakamani

Lissu na Mkumbo waligombea jimbo moja 2010 na 2015
Siyo kweli. Sema kwa sasa hivi Mwigulu amwangalie Kitila kwa jicho la tatu.
 
Ujinga mzigo sana, kazi ya serikali unampa lawama Lissu???? Katika watanzania wanne mmoja ni kichaa. Nadhani wewe ni mmojawapo...............
 
Kusema ya haki ni dhambi hapa TZ !!
ni wajibu na ya lazima viongozi wote washughulikie Basics na mahitaji muhimu kwa raia... !! bla bla na kuuza lafudhi ktk media na kutafuta umaarufu hauendelezi Taifa!!
 
Moja ya changamoto kubwa katika mkoa wa Singida, hususani jimbo la Singida mashariki ni maji

Moja ya changamoto katika awamu ya tano ni kiherehere cha mh Tundu Lissu, kukomalia mambo yasio na tija

Kwa mtu mwenye kufikiri, utaelewa ni kwa nini Prof Kitila Mkumbo ameteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya maji na umwagiliahi

Nadhani sasa ni wakati wa mh Lissu kuwatumikia wananchi wa jimbo lake
Na kuacha kupoteza muda mwingi mahakamani

Lissu na Mkumbo waligombea jimbo moja 2010 na 2015
Mh Lissu akiwa bungeni anamtumikia nani?
Anawakilisha kero za nani?
Kazi ya mbunge ni kugawa maji vijijini?
Akishaieleza serikali kero za wananchi wake anatakiwa akasaini pesa bank kwenye akaunti ya serikali ili apeleke maendeleo jimboni kwake?
Tuweni wakweli tuachane na hizi propaganda za kizamani.
 
Back
Top Bottom