Elections 2010 Jimbo la SIHA........TOO CLOSE TO CALL

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,463
911,172
Sasa hivi nimetoka kuongea kwa simu na mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia CHADEMA Mhandisi Humphrey Abraham Tuni juu ya mwenendo wa kura kaniamba "it is too close to call..." na bado wanakusanya takwimu..........mara atakapojua kwa undani atanijulisha leo hii hii.

Nilipomwuliza matokeo ya Sanya juu alikiri kuwa ni sahihi kama yalivyotolewa na gazeti la Mwananchi yaani:-

Katika Kata ya Sanya Juu jimbo la Siha CCM imepata 1,269 na Chadema 949.

Nitawahabarisha kama habari zitakapokuwa zinaingia ofisini kwangu hapa Arusha mjini..............
 
Back
Top Bottom