Jimbo la shinyanga mjini mambo si shwari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la shinyanga mjini mambo si shwari

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mfikiri, Nov 5, 2010.

 1. Mfikiri

  Mfikiri JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 592
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Kwa ufupi na taarifa rasmi nilizopata pale SHINYANGA MJINI hali si nzuri na Halimashauri ya mji ilishapigwa moto juzi...... matokeo ya ubunge yalitangazwa mida ya sa moja usiku jumatatu CHADEMA yeeeeeeeeeeeeeee..... lakini cha kushangaza baaada Eya saa moja na nusu hivi ikatangazwa SISIEMU wameshinda... msimamizi wa uchaguzi akasema alitangaza ili wana CHADEMA waondoke kwanza wapunguze msongamano. JAMANI NAOMBA WANA JF WA SHY WATUPE more details on this issuee.... latest info... Mbowe alifika j4 na mwana CHADEEEE[anaitwa muuza kuku] haja tia mkono wa kukubali matokeo...Tupeni info SHYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,277
  Likes Received: 19,427
  Trophy Points: 280
  huko si ndio mgombea wa ccm alimshinda yule wa chadema kwa kura 1
  sasa nyie mnategemea nini? wananchi sio wajinga tena
   
 3. N

  Nampula JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wamechakachua nako
   
Loading...