Jimbo la Shinyanga Mjini lapata mrithi wa ubunge. Ni baada ya maandamano ya chadema. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jimbo la Shinyanga Mjini lapata mrithi wa ubunge. Ni baada ya maandamano ya chadema.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jiwejeusi, Jun 23, 2011.

 1. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Baada ya mbunge aliyechakachuliwa, mwenyekiti wa chadema mkoa wa shy na mjumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, marehemu shelembi kufariki dunia, leo amepatikana mrithi wake. Mrithi wake ni ndugu JUMA PROTUS, mwenyekiti wa wilaya ya kahama mkoani hapa.
  Ndugu JUMA alialikwa kushiriki maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya maji mkoani. Yeye alipewa kuzungumza, kama kawaida ya makamanda hakulemba. Wanachi wakaanza kumushangilia na kumwita mbunge. Wakamlazimisha akubali achukue mikoba ya marehemu shelembi, naye alikubali, wananchi wakamchangia pesa za usafiri na malazi kama asante kwa kukubali wito wao. Nilishawahi kupost humu ndani kuwa ccm haitakiwi hapa shy na mbunge mteule masele, hapendwi, hatambuliki na wala hafahamiki kama mbunge wa jimbo la shy mjini ambalo kwa miaka mingi limekuwa ngome ya chadema. Wasukuma wameamka, magamba watavuka.
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kujipanga mapema ni muhimu sana, maana kuna kazi kubwa ya kuhakikisha mianya ya uchakachuaji imezibwa. Matawi kwa wingi, na elimu ya uraia.
   
 3. Shibalanga

  Shibalanga Senior Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  <br>
  <br>
  <br>
  Umeeleza vizuri sana ila sijui kwanini watanzania tumetekwa nyara na haya mambo ya ukabila na udini! kwenye RED hapo binafsi sikuona haja ya wewe kuwatambua wapiga kura wa shinyanga kama wasukuma ilihali kuna watu wa makabila mbalimbali pale, wachaga, wanyiramba, wanyaturu, wajita na makabila mengine. Nyerere alifanya kazi kubwa sana kuwaunganisha watanzania bila kujali dini zao au makabila yao, mi nadhani katika wakati huu tujitahidi sana tusitambuane kwa namna yoyote kwa makabila yetu wala dini zetu Aksante!
   
 4. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu hawana pa kutokea hao wanamagamba. Ni kweli changamoto zipo ila haziwezi kusababsha tukapoteza. Kikubwa ni ushirikiano na watu kuwa commited. Mkuu kama wewe ni mdau basi tuungane ili kwa pamoja tuwashe moto kijiji kwa kijiji hadi kieleweke.
   
 5. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  The sign of victory does not need drips of blood but strategic plan, management and self actualization. WAR FRONT CHADEMA LETS GO!
   
 6. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  shiba mimi sio mkabila wala mdini. Nilpotaja wasukuma nlimaanisha historia yao ya kuisapot ccm na kuburuzwa lakni sasa hawako hivyo. Skuwa na maana ya ukabila, nilitaka kuonyesha na nmeonyesha ungangari wa wasukuma wa siku za leo. Kwa taarifa yako, wasukuma hatujui kubagua makabila mengine na kwa shy wasukuma ndio wengi na ndio mkoa wao wa asili. Elewa kabla ya kupotosha hoja.
   
 7. Tympa

  Tympa Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama ameomeombwa, basi ni jambo zuri. Kwani historia inaonesha kuwa watu waliokua viongozi baada ya kuombwa na waongozwa hua wako perfect zaidi kuriko wale waliojiamulia wenyewe kua viongozi.
   
 8. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Ama kweli sera ya CDM ni kikwazo kikubwa kwa chama cha magamba,CDM hakika ni nyundo. TWANGA KOTE KOTE MAGEUZI NI SASA WANA CDM.
   
 9. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwenziwe alipopolewa mawe lakini bado ni mbunge. Nashangaa mtu asietakiwa bado anakuwa mbunge inakuwaje? Usiniambie uchakachuaji kwani kuna watu 13 walipata ubunge katika uchaguzi huohuo!
   
 10. Shibalanga

  Shibalanga Senior Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nimekusoma mkuu! naogopa sana hiyo kitu, nimefanya kazi Rwanda najua madhara yake asikwambie mtu, tusaidiane kuwaelimisha watanzania waachane kabisa na element hizo kila inapotokea dalili za ukabila au udini.Adios..."
   
 11. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Mwenyekiti wangu Juma, 2015 nagombea Kishapu, yule mwarabu wa Maganzo akae mkao wa kuondoka, hapatatosha!!
   
Loading...