obama sererea
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 101
- 37
Jimbo la Segerea ni moja ya majimbo nane (8) yaliyoko mkoa wa Dar es salaam, ni jimbo jipya lililoanzishwa mwaka 2010 kwa kugawa jimbo la Ukonga, na sasa kuna jimbo la Ukonga na jimbo la Segerea.
Jimbo la Segerea limepata Umaarufu baada ya Uchaguzi wa mwaka 2010 kwa chama cha Chadema kufanya vizuri kwenye uchaguzi huo na kuweza kupata madiwani wawili wakuchaguliwa toka kata ya Segerea na kata ya Kimanga na moja wa viti mwalimu.
Lakini umaarufu zaidi ulipatikana pale ngombea wa nafasi ya Ubunge bw Frey Mpendazoe kuchakachuliwa wazi wazi mchana kweupe.
Matokeo ya kura kwa uchakachuaji huo:-
Ccm walipata kura 43,0000
Chadema kura 39,0000
Cuf kura 18,
Chadema waliendelea kupiga Kazi kubwa na uchaguzi wa mwaka Jana wa serikali za mitaa Chadema walipata mitaa 16 na Cuf mitaa 11 pia chadema walipata uwakirishi wa wajumbe kila kata tofauti na Cuf wao watipata ushindi kata tatu tu nazo ni Buguruni, Vingunguti na Kiwalani pekee.
Kwa matokeo hayo chadema inakila sababu na vigezo vya kuweka mgombea Ubunge Jimbo la Segerea kupitia Ukawa, lakini kwa propaganda inayoendelea sasa ya Cuf kuanza kufikiria kusimamisha kugombe Segerea basi kuna kila sababu Chadema kusimama wenyewe nje ya ukawa na kushinda kwa kishindo.
Wazungu wanamsemo wao "let's agree disagree" tukubaliane kuto kukubaliana.
Hii ndio dawa ya mzizi wa fitna ya hizi propaganda zinazojengwa mpaka na wahariri wa magazeti makubwa hapa nchini eti" Jimbo Segerea waachiwa Cuf"
Nimeamua kuandika hivi kwasababu uongo ukiendelea kusambaa watu wanaweza fikiri ni kweli. Segerea ni Jimbo lenye watu wenye uwezo mkubwa wa kisiasa wasiopenda sifa na kimbelembele cha front page, pia sio kama Chadema haina mgombea wa ubunge Jimbo la Segerea watu wapo ni swala la wakati tu.