Elections 2010 Jimbo la Mbozi mashariki aliyetangazwa mshindi ni mbunge wa CCM

jnuswe

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,270
549
Ni kama nilivyoeleza hapo juu, aliyetangazwa mshindi CHADEMA ni mbozi magharibi na sio mbozi mashariki kama ilivyoelezwa hapo awali
 
Sasa si ungeedit kule kule kijana vip?ulikesha kulinda matokeo nini?
 
Sio mimi niliye andaa ile ya kwanza nilipoisoma tu ndo nikagundua jamaa aliyeandaa ametupiga sumu
 
Hizi threads zinakuwa nyingi mno bwana, bora ungemfuata kulekule ukarekebisha tu!
 
Back
Top Bottom