Jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli?

Jul 31, 2012
22
3
wanajf samahanini sana naomba kujuzwa hivi hili jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli. maana tangu 2010 kushinda hajawahi kuwa na mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi.
 
wanajf samahanini sana naomba kujuzwa hivi hili jimbo la kongwa linambunge au kivuli. maana tangu 2010 kushinda hajawahi kuwa na mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi.

Atakuwa anatoka SSM huyo? Hivi anaitwa nani vile? Maana hasikiki inaweza kuwa ni miongoni wa wabunge wanaochapa usingizi na kuamshwa na makofi hua hua hua hau hau hua. weka ile ya Taisoni!!! alitoka bomba ile kichizi.
 
Atakuwa anatoka SSM huyo? Hivi anaitwa nani vile? Maana hasikiki inaweza kuwa ni miongoni wa wabunge wanaochapa usingizi na kuamshwa na makofi hua hua hua hau hau hua. weka ile ya Taisoni!!! alitoka bomba ile kichizi.

nasikia jamaa anaroho korosho halafu hapendi na htaki kushirikiana na wasomi wa jimbo lake
 
Hapo panahitajika hekopta 7 tumfute kabisa, sijawahi ona mtu hovyo kama huyu katika maisha yangu
 
hapa CDM inabidi tupeleke M4C pale Kongwa tumkumbushe majukumu yake huyu mzee wa "sajenti at arms nataka mh. .... atolewe nje sasa hivi, nje kabisa ya ukumbi wa bunge", maana jamaa anaonekana yupo bize na unaibu spika utadhani wananchi walimchagua ili awe naibu spika wakati walimchagua ili awasilishe kero zao kwenye bunge ili hili li serikali bovu la ccm lizitatue japo halina nia ya dhati ya kushughulikia kero zinazowakabili wananchi wake
 
Si mlivaa kofia na fulana zake ?na pia kila siku kwake anawapikia chai kwenye sufuria la debe nne sasa mnataka nini tena?
 
Kwani ni jimbo lipi linaloongozwa na ccm lina mbunge mimi huwa nashtuka tu kuna mbunge pale kwenye vikao vya bunge wanapokuwa wanalala? au naunga mkono 100 kwa 100! au wanapojaribu kujibu hoja za chadema kwa hoja dhaifu badala ya kuichia serikali kujibu! tofauti na hapo majimbo ya ccm yapo wazi practically!!!
 
nasikia jamaa anaroho korosho halafu hapendi na htaki kushirikiana na wasomi wa jimbo lake
2015 iwe ndiyo silaha pekee ya kuondoa watu kama hawa. Elimu ya upigaji kura ipite huko. Ila sitashangaa akipita bila kupingwa kama mgombea wa 2015. Kila kitu kinawezakana Tz kwa advangate ya elimu ndogo ya uraia
 
jimbo lenye historia ya wanachadema wa kweli imepita sasa miaka kama 16 sasa au zaidi naikumbuka chadema ya mwenyekiti mzee chibiriti, katibu white(huyu ni diwani wa kongwa mjini alirudi kwenye magamba) na wengine wengi kina yona, mikka, mannase
wakiwa na ofc pembeni ya uwanja wa mpira, wallifanya ccm ijiulize mara mbilimbili naomba M4C ikiingia kongwa watafute watu hawa kwani walikuwa ni wanamageuzi wa kweli,
 
Msikurupuke kuleta threads kisha baadae ikaonekana jamaa anamikutano mingi aliyoifanya jimboni. Tumeshuhudia malalamiko ya Kigamboni kisha zikaletwa data za ratiba ya mbunge jimboni mleta thread akajikuta anakuwa mpole ghafla.
 
Back
Top Bottom