JImbo La Kigoma Mjini... Mgombea wa ccm Selukamba atangazwa kuwa Mshindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JImbo La Kigoma Mjini... Mgombea wa ccm Selukamba atangazwa kuwa Mshindi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jonchill, Nov 2, 2010.

 1. J

  Jonchill New Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mgombea wa sisi em, Selukamba ametangazwa kuwa mshindi, bila kutajwa hidadi za kura alizoshinda. Hii ni baada ya kura kuchakachuliwa kwani mgombea wa chadema ndo alikuwa anaongoza kwa matokeo halali.
   
Loading...