Jimbo la Kawe linasheheni viongozi wa ngazi za juu lakini ni la mwisho katika miradi ya barabara kisa jimbo la upinzani

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Hili jimbo baada ya kutawaliwa mara nyingi na upinzani, kuna ka mgomo fulani ka maendeleo, barabara nyingi zilizopewa fedha kwa ajili ya kuwekewa lami, mpaka sasa bado na nyingi hazipitiki kabisa kutokana na mabonde mengi. Si TARURA wala TANROAD wanaotekeleza ilani ya CCM kwenye jimbo hili la upinzani.

Watu wengi walikuwa wakijitolea kuziba mashimo kwa juhudi zao binafsi kwa kuchangishana. Hata ile mitaa anayotoka huyu Mh. Sitta, nako hakufai, sijui kuwa Meya kunamsaidia nini? Watekelezaji wa ilani mkuu wetu alishasema maendeleo hayana vyama, mbona sasa mnaweka migomo baridi? Au mnataka chuki za chaguzi ziendeleee au mnatukomoa.

Basi inatosha nasi tunataka barabara zenye taa kama Temeke na Ilala.
 
Mwenyekiti wa UVCCM Alishasema hawatapeleka maendeleo kwenye majimbo ya upinzani na cha kuwafanya hakuna .
 
Wana JF,

Hili jimbo baada ya kutawaliwa mara nyingi na upinzani, kuna ka mgomo fulani ka maendeleo, barabara nyingi zilizopewa fedha kwa ajili ya kuwekewa lami, mpaka sasa bado na nyingi hazipitiki kabisa kutokana na mabonde mengi. Si TARURA wala TANROAD wanaotekeleza ilani ya CCM kwenye jimbo hili la upinzani.

Watu wengi walikuwa wakijitolea kuziba mashimo kwa juhudi zao binafsi kwa kuchangishana. Hata ile mitaa anayotoka huyu Mh. Sitta, nako hakufai, sijui kuwa Meya kunamsaidia nini? Watekelezaji wa ilani mkuu wetu alishasema maendeleo hayana vyama, mbona sasa mnaweka migomo baridi? Au mnataka chuki za chaguzi ziendeleee au mnatukomoa.

Basi inatosha nasi tunataka barabara zenye taa kama Temeke na Ilala.
Sasa umpe ubunge mtu asie na maono yoyote, alafu utegemee maendeleo??

Hata wewe ni lijitu tu kama yalivyo majitu mengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom