Elections 2010 Jimbo la Igalula lachukuliwa na CHADEMA

Fanfa

JF-Expert Member
Sep 25, 2009
1,815
2,862
Kwa mujibu wa matangazo ya radio one/BBC mgombea wa ubunge kupitia CHADEMA ametangazwa kuwa mbuge mteule.
 
Mkuu,

Kama ni kweli, narudia tena kama ni kweli basi hii habari nzuri sana na wala sikutegemea.

Una jina la mshindi wa hilo jimbo?
 
ninachosihi chadema na cuf...waambiane na wakaze buti kwa umoja sasa kukomboa majimbo ccm inayotaka kuyachakachua
wawasiliane kwa ukaribu sana na kusaidiana,ofkoz na wapiga kura kulinda kula zao,kama sie mwanza tulivohakikisha hakiibiwi kitu!!
nyambaf
 
saaaaafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii saaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaaaaaaaaaa, nimependa matokeo ya ubunge wa mwaka huu, Tanzania ya leo si ya 2005 kurudi nyuma!
 
Jamani angalau Chadema ifikishe viti hamsini na kuendelea ..watajijengea mazingira mazyri mwaka 2015 kukamata dola................
 
Nafikiri sio kweli, mtangazaji alikosea kusoma namba ya kura za mgombea wa CHADEMA, badala ya elfu moja na akasema elfu 10 na.

Alivyokuja kutaja ya waliopiga kura nikaona haiwezekani. Pia CCM wamechukua udiwani karibu kata zote hivyo nafikiri aliyeshinda ni wa CCM.
 
Jamani hivi hawa watu waoanopost bila kuweka matokeo ya kura wana maana gani manake naona wanaambiwa lakini hawasikii, mtu anan'gania za uhakika za uhakika, jitahidini kuweka kura!!! otherwise andika tetesi!!!:A S angry:
 
Mkuu,

Kama ni kweli, narudia tena kama ni kweli basi hii habari nzuri sana na wala sikutegemea.

Una jina la mshindi wa hilo jimbo?

CHADEMA amepata 10,000 plus, CCM wamepata 4,000 plus

Msiwe wabishi wametangaza data sahihi nazimwaga muda mfupi ujao
 
:smile-big:Safi sana....hii nchi haitaendelea kama tutakua tunaona majina yalex2 toka chama kilex2...kzi inafanyika kwa mazoea ndugu zangu.
Mungu saidia Chadema wapate viti hamsini....na upinzani kiujumla viti vifike walau mia.........Bunge liwe zuri!!!:smile-big:
 
Mkuu,

Kama ni kweli, narudia tena kama ni kweli basi hii habari nzuri sana na wala sikutegemea.

Una jina la mshindi wa hilo jimbo?

Wewe Sikonge,

Unapiga kampeni hapa JF na kusahau ndugu zako wa Sikonge? Nashangaa huko Dr. Slaa kapata kura chache sana mpaka nimecheka.

Uliowaomba kura inabidi uwapigie kura na kuwatukana maana wamekusaliti.
 
Wewe Muongo, nasikiliza wapo hapa kasinda wa CCM.Msitupandishe mzuka km hamna uhakika jamani kwani tupo very serious.
 
Jamani hivi hawa watu waoanopost bila kuweka matokeo ya kura wana maana gani manake naona wanaambiwa lakini hawasikii, mtu anan'gania za uhakika za uhakika, jitahidini kuweka kura!!! otherwise andika tetesi!!!:A S angry:

Wangepigwa ban tu hao.
 
CHADEMA amepata 10,000 plus, CCM wamepata 4,000 plus

Msiwe wabishi wametangaza data sahihi nazimwaga muda mfupi ujao

Ndio maana mnafeli mitihani. Unatumia akili ya kuambiwa na kuchanganya na ya kwako.

Sasa wewe umesikiliza na kukimbilia kushangilia ushindi. Mwandishi wa habari alikosea kusoma; ilitakiwa uchanganye na akili yako kwa kuangalia jumla ya kura kujua nani kashinda.
 
Wewe Muongo, nasikiliza wapo hapa kasinda wa CCM.Msitupandishe mzuka km hamna uhakika jamani kwani tupo very serious.

Mie nasikiliza sasa hivi BBC reporter amesema CHADEMA wameshinda na kataja 10,000+ sasa kama BBC wametuingiza mjini ni wao sio mimi
 
Mie nasikiliza sasa hivi BBC reporter amesema CHADEMA wameshinda na kataja 10,000+ sasa kama BBC wametuingiza mjini ni wao sio mimi

Mkuu,
Umefeli mtihani hapa maana hukutumia akili ya kuambiwa na mwandishi na kuchanganya na ya kwako. Wewe uka copy na ku paste na hata pale penye makosa ukatumbukiza vile vile. Pole sana kaka, mpaka nimecheka.

CCM ni kama wameshinda majimbo yote Tabora tena kwa kura nyingi.
 
Mie nasikiliza sasa hivi BBC reporter amesema CHADEMA wameshinda na kataja 10,000+ sasa kama BBC wametuingiza mjini ni wao sio mimi

Sidhani kama BBC wanaweza kufanya kosa la aina hiyo....nina mashaka na usikivu wako!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom