Elections 2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Mbunge Sued Kagasheki,
1. Mikopo Kwa Kina Mama,
2. Vijana Wanapatiwa Pikipiki Kwa Kurejesha Ela Taratibu, Mwaka Huu Kawapatia Pikipiki 300,
3. Ukarabati Wa Hospitali Ya Mkoa Na Kuwapatia Ambulance Na Kugharamia Mafuta Yake,
4. Bill Ya Umeme Ya Hospitali Zote Na Vituo Vya Watoto Yatima Bado Analipa Yeye
5. Kuwapatia Fursa Vijana Kucheza Ligi Yenye Thaman Ya Mil 35 Kwa Miez 6,
6. Kubadilisha Furniture Za Shule Zote Za Serikali Kila Zinapochakaa
7. Katoa Fursa Ya Ajira Kupitia Vick Fish,
8. Kapambana Na Fisad Aman Anatory Katika Sakata La Viwanja Bukoba
9. Kina Mama Wamepewa Fursa Ya Ufugaji Kila Mama 5 Ng'ombe 1 Bule
10. Kuweka Mitego Ya Radi Kila Shule Kuzuia Vifo Vilivyotokea Siku Za Nyuma, Kaweka Tv Na Umeme Shule Zote, Na Kujenga Darasa Moja Moja Kila Shule,
Je Mlitaka Afanye Nin Zaid Ya Icho? Pia Mmelalamika Eti Anaweza Chukua Ambulance Alizogawa Hospitalin, Nahs Dhana Ya Mabadiliko Hamkuielewa
 
huyo ni mbunge mjasilia mali na sio mbunge mtumishi.any way hayo uliyoorodhesha anaweza fanya hata asipokuwa mbunge. ingawa nasikia kaanza kunyang'anya ambulensi ya wagonjwa...
 
Ambulensi Hajanyang'anya, Watu Wahongo, Kafuta Neno IMETOLEWA NA MBUNGE WA BUKOBA MJINI, KAWEKA IMETOLEWA NA KHAMIS KAGASHEKI
 
Huyu Lwakatare Alipewa Ubunge Akachangisha Ela Eti ABANA BASHOME akaishia kula ela bila kufanya chochote miaka ile, sasa ndo mmemrejesha
 
ELA = HELA. Tumia pia neno fedha ingawa fedha ina maana ya SILVER.
Huyu Lwakatare Alipewa Ubunge Akachangisha Ela Eti ABANA BASHOME akaishia kula ela bila kufanya chochote miaka ile, sasa ndo mmemrejesha
 
umesahau wewe,
11. chuo cha ntungamo, bltc, katoke anasomesha watoto kadhaa akiwepo yatima takriban 30,
13. nenda KEMEBOS, MILDLAND UGANDA, NSHAMBYA fanya utafiti ujue amesomesha wanafunz wangapi kwa msaada wake
14. pia kasaidia kwenye tehama pale josiah kibira university college, kafanya mengi swahiba, JAPO ANASAIDIWA NA WAZUNGU,
 
Ukiona katoa misaada yote hyo alafu hajapewa kura basi ujue Kuna kasoro au Kuna jambo . Bado Ana nafasi kwani mpaka Uwe mbunge tu ndo uweze kuwasaidia wananchi? Aendelee kutoa msaada hata kama sio mbunge.
 
huyo ni mbunge mjasilia mali na sio mbunge mtumishi.any way hayo uliyoorodhesha anaweza fanya hata asipokuwa mbunge. ingawa nasikia kaanza kunyang'anya ambulensi ya wagonjwa...

niko uku izimbya,jimbo la bukoba vijijini!ni kweli ameichukua ambulace yake na kama haitoshi piki piki zote alizo waisadia vijana amewapokonya!
 
Una ushahidi?

upo,tena alishaidi hata kabla ya uchaguzi kuwa iwapo atapita boda boda wote angewatoa mjini kwa kumsaliti bada ya kuamia upinzani!niko uku,chezo zima nalimanya!bahati nzuri akaangukia pua,hasira ikaishia ku reclaim "misaada"yake
 
umesahau wewe,
11. chuo cha ntungamo, bltc, katoke anasomesha watoto kadhaa akiwepo yatima takriban 30,
13. nenda KEMEBOS, MILDLAND UGANDA, NSHAMBYA fanya utafiti ujue amesomesha wanafunz wangapi kwa msaada wake
14. pia kasaidia kwenye tehama pale josiah kibira university college, kafanya mengi swahiba, JAPO ANASAIDIWA NA WAZUNGU,

tunaomba aendelee kusaidia..
 
Back
Top Bottom