Uchaguzi 2020 Jimbo la Bariadi Magharibi

Panda II

Senior Member
May 25, 2017
173
319
Andrew Chenge MITANO tena au mna mpango wa kumtosa mzee GENIOUS. Binafsi naona mzee hana sababu ya kuukosa ubunge kwani ana vigezo vyote Elimu, Uzoefu na Mbinu za kutosha, Vijana mmekosa vitu hivyo vitatu.
 
Naunga mkono hoja.. Jamaa wa vijisenti bado tunamhitaji..
 
Fundi wa ufisadi
Andrew Chenge MITANO tena au mna mpango wa kumtosa mzee GENIOUS. Binafsi naona mzee hana sababu ya kuukosa ubunge kwani ana vigezo vyote Elimu, Uzoefu na Mbinu za kutosha, Vijana mmekosa vitu hivyo vitatu.
Inasadikika pia ni kigagula Fundi wa gambos,lakini pia mhusika asiyeonekana mwenye makengeza wa scandals zite zilizotikisa Tanzania kama EPA,ESCROW nk.
Anayefahamu kupokea rushwa kwa ustadi namna hiyo haikosi hata jinsi ya kuwapa rushwa wapiga kura anashindwaje?Hivyo kwa Ubunge hawa Wazee labda aachie mwenyewe.
 
Andrew Chenge MITANO tena au mna mpango wa kumtosa mzee GENIOUS. Binafsi naona mzee hana sababu ya kuukosa ubunge kwani ana vigezo vyote Elimu, Uzoefu na Mbinu za kutosha, Vijana mmekosa vitu hivyo vitatu.
Unaweza kututhibitishia hayo maneno yako ?
 
Andrew Chenge MITANO tena au mna mpango wa kumtosa mzee GENIOUS. Binafsi naona mzee hana sababu ya kuukosa ubunge kwani ana vigezo vyote Elimu, Uzoefu na Mbinu za kutosha, Vijana mmekosa vitu hivyo vitatu.
Niko na Ni mzaliwa wa Dutwa ,

Kuna jamaa anaitwa MAYUNGA LUYEKELA , atamsumbua sana Chenge , japo hagombei Chenge anagombea Mke wake

Kwaheri Chenge
 
Back
Top Bottom