Jimbo la Arusha mjini LIPO WAZI 2015.

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
34,631
40,789
Tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi Arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.

Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.

Kidumu chama cha mapinduzi
 
Dadangu mrembo Catherine Magige atachukua jimbo 2015. Anafanya vitu vizuri vya maendeleo
 
Tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi Arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.

Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.

Kidumu chama cha mapinduzi
Utafiti unafanya na kulete kwa paragraphy moja?
 
Tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi Arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.

Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.

Kidumu chama cha mapinduzi

bondia.jpg

Mawazo yako hayana tofauti na picha hii kwani huyu alikuwa na matumaini ya kumtwanga Mike Iron Tyson
 
Tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi Arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.

Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.

Kidumu chama cha mapinduzi

bora udumu mwenyewe kuliko ccm yako
 
Tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi Arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.

Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.

Kidumu chama cha mapinduzi

Mkuu samahani......labda nikuulize........huo utafiti umeufanya kwa muda gani.........?
 
ulikuwa hujui? kwa taarifa yako ni majimbo yote tanzania yatakuwa wazi 2015
 
Tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi Arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.

Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.

Kidumu chama cha mapinduzi
Mkuu nakuunga mkono kwa hilo Lema ni hakuna kitu ni shati tupu.
 
Kwani kuna jimbo lisilo wazi 2015? Si ndio maana kukawa na uchaguzi? Kama huwez kufikiri kabla ya kuandika iweje ujiite GT!!!
Kachukue buku 7 yako
 
tafiti yangu ya haraka niliyoifanya nikiwa arusha imenipa mjumuiko wa mtazamo wa wananchi walio wengi arusha kuwa wamechoka uwakilishi uliopo madarakani na hauna manufaa kwa kwa namna yoyote kulinganisha na matumaini na ahadi hewa walizopewa na kiongozi aliyepo sasa.

Jimbo lipo wazi na mwakilishi mpya anahitajika 2015.

Kidumu chama cha mapinduzi

kidumu!
 
Lema yuko kwenye zama zake za mwisho kabisa za ubunge, vijana wanasema akagombee ubunge huko kwao machame, ili atuachie Arusha yetu ikiwa na amani kama alivyoikuta.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom