Jimbo Katoliki la Mwanza na D'Salaam rekebisheni website zenu mfuate seniority. Askofu mwenye mamlaka husimama au kukaa kulia kuzidi wote

MdogoWenu

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
555
915
JIMBO LA MWANZA:
Jude Thadaeus Ruwaichi alishaacha kuwa askofu wa Mwanza tangu amewasili pale D'Salaam. Lakini website ya Jimbo la Mwanza bado hadi leo inaonyesha kuwa ni askofu wenu

(http://www.mwanzaarchdiocese.org/)

Hivyo ibadilisheni.

Pamoja na kuibadilisha mkumbuke kuwa position za seniority katika kanisa ni muhimu. Senior anakaa kulia na junior anakaa kushoto.

Hivyo picha ya Papa Francis inatakiwa kuwa kulia kwa askofu wenu na siyo kama mlivyoweka kwenye picha.

JIMBO KUU LA D'SALAAM:
Jimbo la D'Salaam pia rekebbsheni picha zenu mfuata seniority. Kulia anatakiwa kukaa Ruwaichi, kisha kushoto kwake ni Pengo na kushoto kabisa ni Nzigilwa.

Kwa wasioamini au wasiojua waangalie picha zote tangu Ruwa'ichi amefika Dar waone ikipigwa picha Ruwa'ichi anakaa upande gani.

Hakuna picha hata moja utakuja kuona Pengo amesimama kulia mwa Ruwa'ichi. D'Salaam mna uzoefu wa kurekebishwa na mtandao huu wa Jamii Forum hivyo tunategemea mrekebishe hilo na Mwanza nao warekebishe.

Tuliwarekebisha wiki kadhaa zilizopita kwenye uzi ufuatao,

https://www.jamiiforums.com/threads...wenye-tovuti-ya-jimbo-kuu-la-dsalaam.1564100/
 
La msingi ni jinsi gani muumini anaingia Mbinguni hayo mengine ni mbwembwe tu duniani.
 
Mungu unayetaka kwenda kwake ndiye aliyewaweka hao maaskofu akawapa mamlaka uliyofundihswa kwamba ni mbwembwe.
 
Nishajua tatizo lilipo, jibu lako linaonyesha jinsi ulivyo deep in shallow knowledge

Unaona jinsi ulivyo mbumbumbu na timu yako wewe na timu yako mnaoamini hivyo. Nimekuuliza swali fupi sana nani kwenye hizo picha ambaye hajasimikwa na unadhani atasimikwa lini?
 
Kumbe ndo maana JF umeingia juzi
 
Back
Top Bottom